Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,845
- 4,776
Huyu dada ni mtangazaji mzuri sana ila anakera sana kila siku anakomaa kutuhubiria habari za uislamu, kutufafanulia mafundisho mbalimbali ktk vipindi vya 360, nilidhani ananikera mimi tu ila nimewahi kukaa vijiwe zaidi ya viwili tukawa tunaangalia 360 nikasikia watu wengine wakikerwa pia.
Baby Kabaya we fanya kazi iliyokupeleka, habari za kutufundisha uislamu peleka Iman Tv huko au nunua kipindi maalumu. Kila mtu hapo clouds akianza kufafanua mafundisho ya dini yake hapatatosha. Acha hayo mambo.
==========
Updates
Leo amejirekebisha. TCRA angalieni vipindi vyote vya redio na TV wasituletee maudhui tofauti na waliyoweka kwenye maandiko yao kipindi wanaomba leseni.