Wanaobaki Mh.Raisi futa haya MAGARI ya V8, wao watembelee land cruiser mkonge(ambulance) inatosha ili kupunguza garama ktk nchi YETU , piga mnada MAGARI yote ya kifahari, wanatutia hasara wananchi...
Tar 11 Nov 1918 ndio ilikuwa mwisho wa kadhia hii iliyoondoka na mamia kwa maelfu ya roho za walimwengu wa dunia hii ikiwemo na wa Tanganyika wenzetu waliopigana upande wa mkoloni wao, muhimu ni...
kuna demu nimewahi kusafiri nae kuanzia tabora kuja dar,wakati tunatinga manyoni kitaambo ashaniegemea anakoroma kwa usingizi mzito,kufika nae dar ikabidi nilale nae hadi kesho yake,ila baada ya...
Yaani kwa mwanafunzi wa darasa la pili huko mbele ni sawa na form four huku Buzwogwe.Itatuchukua muda sana.Ndio maana watoto wao wanapelekwa mbele,wakwetu vitabu vimechomwa mara nne na mpaka sasa...
Wakuu nawasalimu katika lugha yetu ya hapa jf , baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .
Kwa sasa imekuwa ni desturi ya baadhi ya watu kugombea maiti ya marehemu yeyote , awe tajiri au...
Papa mafido ametanga rasmi anampenda wema sepede katika mahojiano ya kidaku ya tv za you tube.Amesema akipata mkwanja atampuliza sepedu katika naniliu yake.Je muhuni, kichaa, msela wa Arusha...
Wote ni Edward na wote wanatokea Arusha, wote waliwahi kuwa mawaziri wakuu ingawa mmoja ameshatangulia mbele za haki.
Enzi za uwongozi wa Sokoine sikuwa na maarifa ya kupapamabua mambo kwa sana...
Matokeo yakiwa mabaya LAWAMA zote kwa KOCHA pia yakiwa mazuri pongezi nyingi sana zinakwenda kwa KOCHA (kuna kamsemo Fulani kakijinga sana ktk Mpira WA miguu eti Kocha ameajiriwa ili afukuzwe). Mh...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amegusia suala la korosho kwenye mkutano wa 13 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati kwenye mkutano wa Jumatatu novemba 12 akiuliza swali kwa...
Habari wana JF
Naimani tumeianza jumatatu vyema mbali na shida chachechache zinazotuandama na kutuzunguka,
Kuna jambo nimeliwazia sana katika nchi yetu kuhusiana na maadili,
Naweza sema...
Katika kile kilichoitwa kuwa ni kufanya kazi kwa ushirikiano wa kutaka kuleta tija kwa kiongozi aliyoko katika awamu ya tano
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Kiteto, Tamim Kambona amewataka...
Mbunge wa Jimbo Kiteto, Emmanuel Papiani, amekitaka kikosi cha kupambana na rushwa PCCB kuingilia kati kubaini wizi wa fedha za wananchi kiasi cha mil 7 zilipo.
Mhe Papiani aliyesema hayo wakati...
kama nlivyoeleza mwaka jana mwenyewe kwa macho nimewaona wakulima mtwara wanafanya kufuru kwa kuwanunulia mbuzi soda na kuwawekea kwenye chombo na kuwapa wanywe, sasa kufuru kama hizi nahsi...
Halafu unakamatwa eti gari ni bovu! Faini juu na hata kuzuiwa kufanya kazi! Je hii ni haki? Hizo picha moja inaonesha gari limekwama na ukiacha na hilo shimo gari lilipokwama kuna mashimo mengine...
Mzuqa
Unajua sisi waafrika tuna matatizo. Ila kwa upande mwengine nasemaga hawa madikteta wetu hata wakibaki tu madarakani sawa ila wawe tu na huruma kwa wananchi.
Nimeshawahi kuleta humu thread...
Nikushirikishe kwenye wazo muhimu sana na lenye maana kubwa sana kwako. Si jingine bali ni wazo la kuanzisha club ya JITAMBUE hapo ulipo; itakayoshughulika na utoaji wa elimu ya kujitambua kwa...
Askari Magereza Yohana Tangawizi wa Gereza la Mradi Tabora B wilaya Serengeti mkoani Mara amejiua kwa risasi nyumbani kwake.
Mganga Mkuu wa hospitali Teule ya Nyerere, Emiliana Donald amekiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.