Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

Anayefahamu mlima mrefu ktk mkoa wa Mara unaitwaje?

Mlima Rorya ndiyo mrefu kuliko yote mkoani Mara, upo karibu na kowak girls secondary school pia uko wilayani rorya, uko umbali wa kilometa zaidi ya 40 kutoka njia panda ya Gachuma-Tarime-Nyamongo.
 
Sehemu nzuri yakufanya utalii ni maeneo ya Nyamongo pale..
 
Back
Top Bottom