Habari wakuu, Nianze kwa kuweka wazi kuwa mimi ni mkristo na msikilizaji mzuri sana wa nyimbo za gospel
Nimekuwa nikisikiliza music aina tofauti tofauti na kiukweli kila aina ya muziki...
Nani waliuwa?
Wako wapi wauaji?
Je wako wanafirahia vitafunwa,mvinyo,nyamachoma na bia uraiani?. Au wako wanatumikia adhabu?.
SAUTI YA DAMU ISIO NA HATIA INAITA TOKA MAVUMBINI, NI NANI...
Samahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga...
Moja kwa moja kwenye mada,nawapongeza sana wanahabari wote TZ.
Mmoja wao akipata tatizo uwa wanasimama pa1 bila kujali tofauti zao,wanapiga kelele hata km hakuna majibu chanya.
Uliwahi kuwaza...
Katika gazeti la Daily News la tarehe 12 November 2018 kuna tangazo kutoka TRA kuwa vifaa vinavyotakiwa kutumika kwa ujenzi wa reli ya Standard Gauge ambavyo vipo bandarini vitapigwa mnada endapo...
Kwako mheshimiwa rais Hongera kwa juhudi ulizozifanya za kununua korosho nakupongeza
wakulima wa korosho wanafurahia sana kauli zako lakini wanasikitika kwa kukosa korosho za kukuuzia ilihali...
Ngoma ikivuma sana hupasuka... Lakini vile vile hakuna marefu yaso na ncha SIO MAPANA! MAREFU...!!!
Idara ya USALAMA wa taifa ni idara nyeti nathubutu kusema kuliko zote linapokuja suala la...
Serekali hii imehamua kuwatesa na kuwanyanyasa wafanyabiashara ndogo ndogo, kila kukicha ni kukamatwa na faini zisizo na maana.mtu anakabiashara kake hapo hapo atoe kodi,atoe pesa za ulinzi...
wakuu habari zenu,,
Natumia TECNO toleo la zamani kidogo (TECNO N8), tatizo lake kwenye Camera ni pale ninapotaka kupiga picha ID ,mfano voters ID, NIDA, Driving Licences n.k kwa ajili ya...
Malengo ya TAKUKURU kwa kiasi kikubwa yanazidi kufanikiwa, na kwa hakika yanalisaidia TAIFA.
Lakini SHIDA kubwa ya TAKUKURU ni BAADHI ya WATUMISHI wake kujiona KAMA wako JUU YA KILA KITU. Sijajua...
habari wakuu ninayo heshima kubwa kuomba msaada kwa mdau yoyote mwenye ndugu/jamaa katika miji ya lusaka ,kitwe na ndola ili njaribu kumuulizia mambo fulani ya kibiashara!nitashukuru wakuu
Baada ya jana Rais Dr Magufuli kutangaza kuwa sasa hakuna mfanyabiashara yoyote atakayeruhususiwa kununua korosho na badala yake ni Serikali ndiyo itakayonunua korosho zote kupitia Benki ya Kilimo...
A. UTEKWAJI MOTO
Hii ni aina ya ' Utekwaji ' ambapo Tajiri akiombwa tu Hela na ' wanaozitaka ' waishio Baharini halafu akakataa basi atavamiwa tu Saa 11 za Alfajiri, atapotea kwa muda na...
Nipeni maoni yenu,kama mjuavyo wanaume wanakufa mapema kabla ya wake zao,mama zetu wanaishi mpaka wanazeeka,watoto wa kazi imekuwa issue hawapatikani siku hizi,je ukiwa Kama mwanaume mtoto wa...
Juzi nilikiwa ninatazana taarifa ya habari ITV saa 2 usiku.Pana habari ya Mh.Jafo akiwa Handeni -Tanga na akikagua baadhi ya miradi wilayani humo.
Kilichonishitua na kunionesha kuwa kila mtu ana...
Viongozi wangu wa CHADEMA na CUF ya Maalim,kiu niliyonayo haina kinywaji cha kuikata.
Ni kiu ya kipekee kabisa ambayo itanifanya nitoke hapa nilipo mpaka Dar siku hiyo kipenzi cha wasema ukweli...
Kwanza kabisa napenda kusema kwamba kitu nnacho post hapa binafsi hakinipi faida yoyote zaidi ya nchi yangu. Nampongeza Rais Magufuli kwa dhati ya moyo wangu kwa kurudisha mahusiano ya KIBALOZI na...
Habari zenu wakuu.
Tujifunze kwa kifupi juu ya kichwa cha somo hapo juu
Kwanza inatupasa tujue ya kwamba yesu kristo ni Amani
Na tunapozungumzia wabaya ni wale wanaofanya mambo yasiyo mpendeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.