plainpaper
Member
- Oct 12, 2018
- 71
- 60
Ujumbe huu naomba uende moja kwa moja kwa Kangi Lugola na Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza.
Nduguzanguni kwanza nawapongezeni kwa kazi nzuri mnayoifanya kwa kuhakikisha raia na mali zao wanakuwa na salama muda wote.
Pamoja na sifa zote hizo lakini siwezi kunyamaza kwa kuona unyama unaondelea, kuna baadhi ya askari sio wazalendo na wanalichafua sana jeshi la polisi, hali hii hupelekea raia kuwaona mapolisi kama adui zao.
Kwa siku ya leo naomba nimulete kwenu askari mmoja, nitamwelezea kiufupi then nitatoa namba zake ili akanywe kwa tabia yake aliyonayo ili angalau ajirekebishe. Askari kwa mara ya kwanza alikuwa kitengo cha trafiki(askari wa usalama barabarani) alifanya madudu mengi sana, kelele za raia wema zilipozidi kwa kutokana na vitu alivyokuwa anafanya askari huyu alitolewa barabarani akarudi kuvaa uniform ya kaki. kwa mara ya mwisho askari huyu alikuwa mtumishi katika wilaya ya kwimba, ila kwa muda huu nahisi akawa bado yuko kwimba au kahamishiwa Mwanza mjini.
Naliomba jeshi la polisi chini ya jemedari Kangi Lugola mkanyeni huyu askari anayoyafanya yanawaakisi nyote huku uraiani, asikari huyu mchunguzeni sio mtu mzuri hata kidogo. Narudia tena askari huyu sio mzuri hata kidogo mchunguzeni
Kwa leo nitamtaja kwa jina na nitaweka namba yake ya simu hapa ingawa sitaimalizia
Jina: ESSAU LUSEKELO
Tell: +255 (0)756 522 99..
Mkishindwa kushughulikia hili nitamwanika hapa kwa picha na matendo yake.