Ukiingalia movie ya MO unadhani waigizaji wanakosea wapi na wapi wanapatia? Je, ni kweli kuwa mzimu wa mtekwaji unawazuzua hasa wanapomwona?Jana TU nimeona tabasamu lake akiwa na WATOTO wadogo...
Nimekuwa jijini Tanga kwa siku mbili tatu hivi. Siyo mara yangu ya kwanza kufika, ila kila nikifika huku huwa nashangaa kwa nini huu mkoa unaitwa jiji.
Mji wenyewe mdogo halafu halafu watu...
Huku kwetu mahindi debe 1 ni Tsh 2000/=
Mchele super debe ni Tsh 25000/=
Serikali ifungue mipaka vinginevyo wakulima hata mitaji ya kununua mbolea itakuwa shida!
Au
Serikali ikimaliza kununua...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amesema kamwe Serikali ya Tanzania, haitaruhusu ushoga na kwamba kila kiungo kilichoumbwa na Mungu kwenye mwili wa mwanadamu kina kazi yake.
Lugola...
Hivyo hivyo kama kichwa kinavyo sema, najua ni natural lakini sijui origin yake, ni kwasababu dunia inazunguka hivyo tuna upepo au unatoka wapi? Na inapotokea kimbunga ni nini cause yake...
Nimesikia hili Tangazo la Zantel la BAO , yaani jamaa mwanaume anapiga simu kwa mwanamke wake wa Kwanza, anamwambia maneno mazuri ya mahaba Kama Yuko peke yake, jamaa anakata simu anapiga kwa...
Nimekulia kijiji flani huko Milima ya upareni kinaitwa Kilomeni. Wakati nakua kulikuwa na wababe wengi wanapiga kila mtu na hawafanywi lolote. Baadae vijana walichoka wakajiandaa na kuwavamia...
Naandika huu Uzi nikiwa na masikitiko makubwa kabisa na nawaonea mno huruma Dada zangu / Wanawake kwa ujumla hasa wenye Tamaa na kupenda mambo ya anasa jinsi ambavyo ' Wanaambukizwa ' Virusi vya...
Well,nmepita hapo naona vijana wanatoka kufanya mtihan nadhan,wanaenda kudandia daladala...wamependeza na suti zao kwelkwel,
Anyways,elim ni ufunguo wa maisha ila inabid tusome nyakat ndugu...
Waswahili husema machozi ya mamba huishia majini.wako wana jamii humu hulia aidha kwa mema kwa mahaba yao na masuala ya jamii .wengi wao machozi huishia majini ningependa kutoa Rai yangu kuwa...
Mimi ndio naona hivyo. Haya ni maoni yangu.
Unapokagua vyeti vya form four na form six peke yake bado hujafanikiwa. Kuna mtu anavyo vyeti hivyo tena vyote halali kabisa! Lakini chuoni alifeli...
Habari wadau JF,Naandika ujumbe huu ili uwafikie walengwa akiwemo mkurugenzi wa halimashauri ya kahama ndugu ANDERSON MSUMBA na mkuu wa Wilaya ya KAHAMA,pia watu wa TFDA..
Kiukweli mazingira ya...
Habari wana JF,
Naimani tumeianza jumatatu vyema mbali na shida chachechache zinazotuandama na kutuzunguka,
Kuna jambo nimeliwazia sana katika nchi yetu kuhusiana na maadili,
Naweza sema...
Hbr ya asbh wapendwa.
Mwenye namba za simu za PSPF makao makuu anisaidie ziwe za simu ya mezani au ya mkononi sawa ambayo ukipiga wanapokea..
Namba yao waliyoweka kwenye website inaita ila...
naiskia ndo zinahit nasaidiana na dogo hapa kuandika mistari,anasema we fichaficha ili BASATA wasijue maana ile ya nyege nyege,kwangwaru,safisha mtaro zimemu inspire sana dogo,hii ndo chorus yetu...
Habari zenu wana jf,naomba niwape taarifa kampuni ya maji safi dawasco kwamba kuna bomba lao limepasuka hapa nyerere road opposite na kampuni ya sigara karibu na ofisi ya UBA linamwaga maji mengi...
Hi ladies & gentlemen!
Hii fedha ina majina mengi sana, hii inatokana na umuhimu wake. Mtu kama hana fedha hata ya kununulia sahani ya ugali utamjua tu, anakuwa mnyonge, au wakati mwingine huwa...
Ndugu wana jamvi salaam kwenu. Nimetafakari sana tangu siku wasomi wenu walipodai mtu wakwanza aliishi hapa bongo land, nikawaza ilipo bustan hii tunayoambiwa waliishi Adam na Hawa.
Kisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.