Tumpeni support katibu wa BASATA, vita si ndogo

nzagambadume

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
2,430
5,769
Baada ya kufungiwa wimbo unaona kabisa madogo wa wcb walivyovimba na kukataa kuutoa wimbo you tube

Cha kushangaza kuna watetezi wao kabisa

Nani asiyejua siku hizi Diamond amekuwa agent wa mambo ya kulawitiana?Mashairi yake na wenzake yana ukakasi mno,utasikia kitandani sodoma,paka mate iteleze kama nyoka pangoni,kameingia chambo nakapakia mgando,nyege nyege nyegezi kuna hotel inaitwa **** kumalija wanapangisha vyumba vya uani mara sijui michezo ya amber ruty

Why huyu jamaa yupo obsessed na ngono ya makalio hivyo hadi anaamua kuwa poison watoto?

Capture.PNG
2.PNG
3.PNG

kama unamfikisha mahakamani wema sepetu kwa kupost clip akipigwa denda ,clip ambayo mtoto wa miaka 3 hawezi hata hangaika nayo lakini nyimbo hizi za matusi vitoto vinaimba kabisaaaa.

cha kushangaza hapa majuzi kuna watu walijifanya wana uchungu sana na maadili,mmoja hadi akajiita konki na kutaja list ya anaosema ni mashoga,mwingine akalia kanisani analilia maadili

huyo aliyelia kanisani ndo MLEZI wa hawa vijana thats why wana dharau and you can tell kwamba kawaambia wapuuze kama vile walivyompuuuza naibu waziri shonza kipindi kile

Tusipompa sapoti ya public katibu wa Basata ataondolewa haswa maana huyu MLIA KANISANI NI KAMA ANAYO SERIKALI YAKE KABISAAAAA
 
Acha unafiki,sasa huyo khatibu apewe support ya nini,BASATA wenyewe kama saa mbovu sometimes wana kosea na saa nyingine wanapata,walizingua kipindi kile walipozifungia NYIMBO YA ROMA NA NIKKI MBISHI wakati hazina matatizo,mwache atumbuliwe tu.
 
haya babake kama nakuona unavyocheza hapo nyege nyege nyegeze kuna hotel inaitwa kumaa kumaa kumalija wanapangisha hadi vyumba vya uani
 
Hamna kitu wananiuzi kama kufungia zile nyimbo zinazoikosoa serikali lakin nashangaa watu huwa hawalalamiki kama wanavyolalamika hizi nyimbo za vijana wa kisasa zifungiwe kisa wanaimba nyege,,tunatakiwa tuzitetee wazifungulie zile wanazofungia kwa maslahi yao kisa mabosi wao wameimbwa .Vinginevyo huu ni unafiki uliotukuka
 
Hamna kitu wananiuzi kama kufungia zile nyimbo zinazoikosoa serikali lakin nashangaa wau huwa hawalalamiki kama wanavyolalamika hizi nyimbo za vijana wa kisasa zifungiwe
Team hizi ndio zinawasumbua,lkn zile za ROMA na NIKKI MBISHI ,jamaa hakuziona kaiona hii ya Nyegezi.
 
hizi nchi zetu za dunia ya tatu bhana kazi kweli, hawa wasanii sasa itabidi wawe wanaimba kwaya labda hawatofuatiliwa..................
 
Capture.PNG

DHARAU ZINAENDELEA WANARINGIA UWEPO WA DADDY MLEZI MLILIA MAADILI KANISANI BADO WANAPOST ANGEKUWA NI MSANII MWINGINE SASA HIVI YUPO CENTRAL,NEY ALIIIMBGA MAKUU MAKUU MAKUZI AKAFUNGIWA HAYA MENGINE YANAIMBA KUHUSU ANAL SEX MWANZO MWISHO HADI NYIMBO INANUKA MAVI
 
Hivi kuweka sheria ya wimbo kupitia kwao kabla. Haujaenda public ili wajiridhishe na maneo au picha kuna shida gani
 
BASATA ana rungu mkononi,wana mamlaka ya kisheria ya kuwachukulia hatua wasanii pindi wanapo kosea......sisi tuta wafanyaje wazee wa “Nyege nyege Nyegezi?”
 
BASATA ana rungu mkononi,wana mamlaka ya kisheria ya kuwachukulia hatua wasanii pindi wanapo kosea......sisi tuta wafanyaje wazee wa “Nyege nyege Nyegezi?”
WAMEKATAA KUITOA YOU TUBE NA BADO WANA POST SI UNAJUA DADDY DAUD NDO MLEZI WAO?NAIBU WAZIRI MWENYEWE ALIPEWA MAKAVU NA DIAMOND AKANYWEA ,CHEZEA DAUD B WEWE
 
View attachment 931603

DHARAU ZINAENDELEA WANARINGIA UWEPO WA DADDY MLEZI MLILIA MAADILI KANISANI BADO WANAPOST ANGEKUWA NI MSANII MWINGINE SASA HIVI YUPO CENTRAL,NEY ALIIIMBGA MAKUU MAKUU MAKUZI AKAFUNGIWA HAYA MENGINE YANAIMBA KUHUSU ANAL SEX MWANZO MWISHO HADI NYIMBO INANUKA MAVI
Naona umeshupalia mngekuwa mnashupaliaga basi kipindi kile ROMA anafungiwa, mmemfanya siku hizi aimbe vitu vya ajabu mara kibamia, Mwajuma kaolewa na huu ujinga kasababisha mwenyewe BASATA mpaka watu siku hizi wanaimba vitu kama hivi. January Makamba mwenyewe kaifagilia nyimbo hiyo wewe kafanye mambo yako WCB ni CCM , Serikali ni CCM hapo kaa usubirie maigizo lkn nyimbo haifutwi.
 
Naona umeshupalia mngekuwa mnashupaliaga basi kipindi kile ROMA anafungiwa, mmemfanya siku hizi aimbe vitu vya ajabu mara kibamia, Mwajuma kaolewa na huu ujinga kasababisha mwenyewe BASATA mpaka watu siku hizi wanaimba vitu kama hivi. January Makamba mwenyewe kaifagilia nyimbo hiyo wewe kafanye mambo yako WCB, Serikali CCM hapo kaa usubirie maigizo lkn nyimbo haifutwi.
ULIKATAZWA KUSHUPALIA? VIPI WE JAMAA?EMBU NITOLEE WINGU
 
Big up BASATA kama hao WCB hawana nyimbo za kuimba wafyekeleeni mbali wakauze karanga. Ngoja tumuone huyo mlezi wao atakavyothibisha unafiki wake wa kujiliza madhabahuni kwa kuwatetea hao wapuuzi wake.
 
NIMEONA LEO VITOTO VYA NURSERY VINAIMBA JAMANI,JAMANI JAMANI,MATUSI TENA YA KINYUME NA MAUMBILE POWERED BY MLEZI LIALIA WA KANISANI ETI MTETEA MAADILI
 
Back
Top Bottom