Unabii huu Unatimia kwa Wanawake

RGforever

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
6,878
5,424
Isaya 4
1 Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu.

Screenshot_20181112-195532.jpeg
Screenshot_20181112-200757.jpeg



FAIZAALLY nam-quote anasema Tunaweza Kujitunza Hata Wao kuwatunza,
 

Attachments

  • Screenshot_20181112-195509~01.jpeg
    Screenshot_20181112-195509~01.jpeg
    59.1 KB · Views: 21
Hata wafanyaje watatutafuta tuuu! Piga kazi Mwanamke jitegemee lkn huwezi kumkimbia mwanaume hata kwa kumlipa utamtafuta tu
 
Hata wafanyaje watatutafuta tuuu! Piga kazi Mwanamke jitegemee lkn huwezi kumkimbia mwanaume hata kwa kumlipa utamtafuta tu

Kweli Chief, maajabu zaidi ni kwamba hii iko pande zote!

**Mwanaume anamchukia mwanamke lakini anamuhitaji, Mwanamke yeye hamuhitaji mwanaume bali ANAMPENDA/ANAPENDA kuwa na Mume!
 
Back
Top Bottom