Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Kwa mara nyingine tena nawajia tena na mada ndogo ndogo.
Nimesikia mara kwa mara siku za hivi karibuni viongozi kadhaa wakiwaita foreigners kama 'wazungu'. Hii lugha sikumbuki kuisikia miaka ya nyuma. Sikumbuki kumsikia Nyerere akitumia neno hilo.
Mzungu ni nani? Kwa ufahamu wangu, mzungu ni mtu mweupe au Caucasian au 'white person'. Lakini zaidi ya utambulisho ni jina la kibaguzi na la kijinga kwa sababu mtamkaji huwa ana nia siyo ya kumtambulisha bali kumpandisha au kumshusha mhusika/wahusika huku akitumia rangi yake kufanya hivyo.
Narudia ni jina la kibaguzi na la kijinga na linastahili kubaki huku mitaani kwa sisi masela na lisitamkwe na hao wanaojiita waheshimiwa.
Hiyo ndiyo mada yangu ndogo ndogo ya leo.