Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tujifunze kwenye ujasusi Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani Kuna michezo mingi😃😃😃 😄 Kuna mbinu mmoja ambapo idara ya kijasusi inaweza kutengeneza mtu akawa mkosoaji mkubwa serikali...
1 Reactions
1 Replies
47 Views
Baba anaishi na kabinti kadogo kiumli kuliko mimi mwanae mtihani kumuita mama,mama anaishi na kajamaa kadogo kuliko mimi kiumri mtihani sana kumuita baba,dogo wangu anaishi na mshangazi wenye umri...
2 Reactions
2 Replies
46 Views
https://youtu.be/w_xSYuJi3ms?si=zNIJLfDo_Jxfouua
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa maeneo ya viwanja na nyumba yaliyopo Kata ya Mbezi, Kijiji cha Msufini Kidete, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani. Maeneo yetu yamekuwa yakihitajika na wawekezaji...
3 Reactions
6 Replies
128 Views
Mji wa Dar es salaam unanuka mavi , au niseme unanuka harufu mbaya, na hii ni matokeo ya wamachinga kuweka biashara juu ya mitaro yote hapa Dar es salaam. Unakuta sehemu juu kuna biashara ya...
2 Reactions
0 Replies
40 Views
Je , ni aina Gani ya ajira ambazo wasouth Africa au wapopo wamekuwa wakiwalalamikia wageni kuwa wamezichukua? Je ni ajira zipi. Najaribu kuangalia hili swala
2 Reactions
12 Replies
245 Views
Kama Usipojifunza kuchunga attention yako au nini cha kuzingatia na nini cha kukipuuza , watu wengine wataitumia attention yako kutengenezea utajiri wao .
3 Reactions
3 Replies
52 Views
##Tujifunze kwenye ujasusi Kwenye nyanja ya ujasusi hapa duniani Kuna michezo mingi😃😃😃 😄 Kuna mbinu mmoja ambapo idara ya kijasusi inaweza kutengeneza mtu akawa mkosoaji mkubwa serikali...
10 Reactions
15 Replies
238 Views
Kama una mpango wa kununua gari kupitia yard au gari zilizo nchini tayari kuwa makini sana na haya maneno mawili; 1. AFTER MVUNJOO 2. JUST ARRIVED FRESH FROM JAPAN Haya maneno mawili yanatumiwa...
2 Reactions
0 Replies
29 Views
Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Katika utafiti uliofanyika ndani ya viunga vya Mwanza ambao ulihusisha kuzifanyia uchunguzi dawa za asili za Nguvu za kiume zinazouzwa na watu binafsi, makampuni au watu wa mitishamba na jadi...
3 Reactions
7 Replies
143 Views
Kuna mfanano wa ajabu kati ya wachawi na dini ya mashetani, nao ni kutumia nyama ya binadamu na damu yake kwenye sherehe na makafara yao na sababu kubwa ni kupata ujasiri nguvu na kujiamini...
12 Reactions
176 Replies
32K Views
Wakuu, habari za muda huu. Jana jioni baada ya mihangaiko na pilika za hapa na pale za kusaka tonge, nikajikuta maeneo fulani hivi tulivu, nikaingia kwenye ka-pub flani hivi amazing kwa ajili ya...
21 Reactions
121 Replies
1K Views
Nilikuwa macho toka saa nane usiku na kuna mtu nikaongea naye kwa simu kama dakika kumi hivi. Kufika saa tisa hivi nikasikia kama kitu kinanyata nje ya nyumba. Nilidhani ni mbwa. Hivyo nikafunua...
129 Reactions
342 Replies
36K Views
Binafsi nimekuwa mfuasi wa Rockstar games.. Nimecheza GTA vice city yote, Pia nilicheza maxpyne ile ya kwanza kabisa.. Baada yake nikacheza San andreas Ambayo sikuimaliza kutokana na marudio...
2 Reactions
5 Replies
81 Views
Naandika makala hii si kwa ajili ya kubeza mila na desturi za wengine au kukosoa utaratibu uliozoeleka kwenye matukio mengi ya furaha. Naandika makala hii kuonyesha siri mbinu na mitego...
23 Reactions
307 Replies
46K Views
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya...
16 Reactions
125 Replies
9K Views
Hili neno laweza kuwa na tafsiri nyingine kwa wengine lakini kwa watu wa Tanga lina maana yake muhimu ya ugumu ujasiri na roho ngumu Hili nililishuhudia huko Lushoto kwa watu kadhaa waliochanjiwa...
24 Reactions
221 Replies
42K Views
Kuna njia kuu tatu zinazotumiwa na mwanadamu kwa ajili ya usafiri yani kutoa sehemu moja mpaka nyingine nazo ni maji anga na ardhi . Lakini kwa mchawi ni mbili anga na ardhi , majini wengi...
19 Reactions
745 Replies
142K Views
Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano...
23 Reactions
518 Replies
164K Views
Back
Top Bottom