Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa ambao hamjazoea Lugha Kali. Niwasihi muishie hapahapa! Kwani nitaitumia ili kugusa hisia na mioyo iliyolala. So kama Una tatizo na lugha Kali, au unaadabu Sana, au unakiapo cha kutosoma...
14 Reactions
85 Replies
3K Views
Marehemu Hafidh Ameir Hassan, Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezikwa jioni ya leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Watu mbalimbali, wakiwemo...
4 Reactions
10 Replies
401 Views
Kilimanjaro-Tanzania: Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) imeeleza mchango wa uwekezaji wa sekta binafsi katika mageuzi ya kiuchumi ya Tanzania wakati wa ziara ya wajumbe wa Kamati ya Kudumi ya Bunge...
1 Reactions
1 Replies
38 Views
Na sitaki kuona Mamlaka yoyote ile inamchukulia hatua Kali za Kinidhamu huyu Dudubaya kwani amesema Ukweli 100% japo ni Mchungu. Haya Vijana na Wanaume wa Sinza, Mbezi Beach kwa Zena, Kimara...
2 Reactions
1 Replies
80 Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ametoa pole kwa wafiwa akiwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es salaam, baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya uhaini hadi kesho, Septemba...
1 Reactions
3 Replies
139 Views
SUB TITLE: Kiini macho (illusion) Cha Sanduku la Kura (Ballot Paper), Na Sababu Kwa Nini kupata Katiba Mpya na kubadili Sheria sio suluhisho la kudumu. By Suzi Rafael, Nchini Tanzania, Vyama vya...
0 Reactions
0 Replies
13 Views
Wanaripoti Jambo TV Irene Mziray, mama mzazi wa kijana mwenye umri wa miaka 22, Junior Joyful Jonathan, ameiomba serikali kusaidia katika jitihada za kumpata mwanawe ambaye amepotea na kudaiwa...
4 Reactions
28 Replies
566 Views
Kwa wale msioelewa maana ya neno 'Mashagala' linamaanisha wale Wadada wa Kazi kwa Waarabu.
1 Reactions
2 Replies
61 Views
Watapata tabu sanaaaaaaaa! Yupo wapi Kamanda huyu wa polisi alikua Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma? Ali-trend sana na slogan yake ya "Watapata tabu sanaaaaaa!"
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Eti Wakuu hii ina ukweli? Hivi ni kweli kuwa kukaa mbali na dini ni kukaa mbali na Mungu?
0 Reactions
10 Replies
92 Views
Anonymous
Hii ni barabara ya Kigamboni Dege (barabara ya Mchikichini kuelekea Mbutu Kichangani) ubovu huu umekura kero kwa wananchi kama unavyoona vifusi vimeekwa kwenye barabara ila havisambazwi na hii...
1 Reactions
0 Replies
109 Views
Habari Wadau Naomba kujua uwa mnachukua hatua gani za kwenda kuona kiwanja kabla ya kununua au baada ya kununua katika site ya Tausi. Je unaenda na Afisa ardhi au inakuwaje, maana ramani ya...
0 Reactions
2 Replies
74 Views
Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa...
1 Reactions
4 Replies
50 Views
Muda ni wa thamani sana, abiria huona ni bora kulipia 1500 ya bajaji kuliko buku ya daladala, safari ni ile ile lakini bajaji itatumia dakika 20, daladala saa zima
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Anonymous
Habari zenu Wana-Jukwaa, Lengo langu la kuandika uzi huu ni kutoa ushauri na wito kwa Shirika letu la Umeme Tanzania (TANESCO) kuhusu namna linavyotumia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Kazi...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
  • Redirect
Kuna nini hapo dasilamu mujini?..Nani kanyakuliwa na Mnyezi Mungu kwenda kuungana na Muumba..Huku nilipo limeibuka shangwe n vigelegele baada ya tangazo la yule msaidizi wake mwenye kichwa...
3 Reactions
Replies
Views
Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipataga deal la kuua mbwa koko wasio na wenyewe wanaozurura mtaani kwa kutumia bunduki Siku ya kwanza ilienda vizuri niliua mbwa 47 kwenye vitongoji viwili siku...
13 Reactions
71 Replies
1K Views
Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
0 Reactions
6 Replies
66 Views
Wananchi katika kikao kilichofanyika Septemba 4, 2026 cha ushauri Wilaya ya Mpanda (DCC) wamehoji sababu ya umeme ndani ya Manispaa ya Mpanda kila inapofika Saa 11 Jioni na Saa mbili usiku umeme...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA...
1 Reactions
4 Replies
120 Views
Back
Top Bottom