Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huu ni msemo maarufu ambao unatumika na waamini mungu wengi siku ya leo lakini muanzilishi wake ni mwanahisabati na mwanafalsafa Mfaransa Blaise Pascal katika Karne ya 17, hoja hii imepwa jina la...
3 Reactions
71 Replies
443 Views
Nina malalamiko kuhusu huduma ya intaneti ya Halotel ambayo imekuwa ikinitatiza kwa muda. Bando linaisha kwa kasi isiyoendana na matumizi yangu. Wakati mwingine najiunga na kifurushi bila hata...
5 Reactions
13 Replies
134 Views
ZCO wa Kanda Maalum wa Dar, jana ametoa tamko la usalama kuhusu derby ya Kariakoo. Watu kama hawa huwa hawaletwi kwenye spotlight bahati mbaya. Huyu anaandaliwa wadhifa mkubwa kwa siku za usoni...
2 Reactions
10 Replies
199 Views
■KIJANA USIBABAIKE NA MAKEBO MAKUBWA ■DADA USIBABAIKE NA LIFTI YA CROWN NA HAYO MAHARRIER ■AKIKUAMBIA ASIKII UTAMU AKIWA AMEVAA CONDOM JIFANYE UMESAHAU KITU NJE ALAFU UKIMBIE BILA KUGEUKA NYUMA...
1 Reactions
0 Replies
42 Views
Wakuu igwee ! Afya ni msingi wa afya bora. Na hauwezi kuzungumzia afya bila kutaja mazoezi na mazoezi yenye ubora na viwango yanapatikana gym achana na kuruka kichura chura manyumbani kwetu...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Ushauri tu Wapendwa; Sio wachaga wote wana roho za mateso kama matukio yanayoendelea hivi karibuni Naomba niwahakikishie mabinti kuna makaka wazuri wenye roho nzuri sana na wanawito wa kuwa mume...
5 Reactions
28 Replies
222 Views
Mbona iPhone 11 ina fonts ndogo sana kwenye jukwaa lenu, kichwa cha habari font iko sawa ila replies ziko ndogo sana . Je ni settings kwa simu yangu au ni kawaida ? Asanteni
0 Reactions
0 Replies
25 Views
Afya ya akili ikikaa vibaya watu huchukua maamuzi ya hamaki , matukio ya kikatili kisa wivu wa mapenzi yamekuwa mengi . Ukiona mpenzi , mume , mke afya yake ya akili haipo sawa take caution...
1 Reactions
6 Replies
52 Views
Nimekutana na hii taarifa kua nabii Tito kapoteza maisha, je ni za kweli hizi taarifa? Ikumbukwe nabii Tito alimdhihaki MUNGU, Kwa kujiita ye MUNGU na yesu ni mwanae
3 Reactions
36 Replies
768 Views
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili...
151 Reactions
7K Replies
1M Views
Binafsi huwa napinga vikali hii tabia/ upumbavu wa kusema mke akiwa na milioni Moja halafu mume ana laki Tano basi familia ina laki Tano, yaani mwanamke atatumia pesa zake atakavyo. Na nionavyo...
7 Reactions
31 Replies
292 Views
Kuna contradiction ambayo nimekuwa nikifikiria. Mtu mwenye maisha magumu akipata nafasi ya kuzungumzia utajiri, mara nyingi utasikia: “Pesa nyingi haiwezi kupatikana kihalali.” “Lazima ufanye...
3 Reactions
61 Replies
413 Views
Sijui kama na wewe umeona, nimekuwa nikichunguza familia nyingi unakuta wazazi hasa wamama kumpenda mtoto mmoja zaidi kuliko wengine. Nachakushangaza zaidi sio kwamba ni kwa sababu ana mafanikio...
22 Reactions
202 Replies
2K Views
📌Yanyakua tuzo nne katika vipengele mbalimbali 📌 Yatambuliwa kwa ubora katika mawasiliano ya kimkakati, elimu kwa umma na usimamizi wa mawasiliano wakati wa migogoro
1 Reactions
12 Replies
131 Views
Queen Mbuba, Mkazi wa Kijiji cha Igunda, Wilaya ya Mbozi, Mkoani Songwe, anadaiwa kumuua mume wake baada ya kumchoma sindano inayodaiwa kuwa na sumu na baadaye kumshambulia kwa kitu chenye ncha...
12 Reactions
50 Replies
1K Views
HABARI MKAZI wa Kijiji cha Magara katika Wilaya ya Babati mkoani Manyara, Michael Jackson (25) amepoteza maisha, baada ya kuuawa kwa kucharangwa mapanga, alipokutwa akizini na mke wa mtu kwenye...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi nashangaa karne hii ambayo kuna email lakini utakuta bado kuna mashirika na taasisi wanataka tuwasilishe barua kwao kwa njia ya posta bomboclat.Hii inamaana gani..?
1 Reactions
2 Replies
41 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mchungaji wa Kanisa la Habari Njema, Kasese Gervas Bilalo (47), kwa tuhuma za kumuua mke wake, Martha Faustine (45). Inadaiwa mtuhumiwa alimvizia mkewe...
6 Reactions
20 Replies
560 Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam-Tanzania, 9 Oktoba 2026: Kombe la Ligi Kuu ya Uingereza limewasili Tanzania, kwa mara ya kwanza, likiashiria kuanza kwa ziara yake ya Afrika Mashariki. Kombe hilo...
2 Reactions
5 Replies
72 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia Betrice Kalawa (45), mkazi wa Kijiji cha Malangali wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe kwa tuhuma za kumuua mume wake, Peter Mbunduzi (55) kwa kumpiga...
4 Reactions
24 Replies
268 Views
Back
Top Bottom