Linda Attention Yako: Usiwanufaishe Wengine!

Kweli..hiyo haifundishwi mahali kokote ila ukiingia mtaani utakutana nayo, Nilikuwa mahali nafanya mambo yangu, lakini kila Mara nagundua watu fulani wananitazama sana,ile tazama yao ilikuwa kunipumbaza niwaze kwamba labda kuna kitu wanataka nifanye au wananipenda, kumbe hamna, yaani wao wanapenda Michezo ya kuchezeana kihisia,uone kwamba kuna kitu lakini kusema ukweli hakuna,Nakamura kuwapuuza sasa hivi huwa wanaagalia pembeni kwa sababu ile attention niliyokuwa nawapa mwanzo siwapi tena.
 
Bado hujaelewa anachokizungumzia mtoa mada, sio attention nyepesi hivyo
 
Back
Top Bottom