Kuna njia kuu tatu zinazotumiwa na mwanadamu kwa ajili ya usafiri yani kutoa sehemu moja mpaka nyingine nazo ni maji anga na ardhi .
Lakini kwa mchawi ni mbili anga na ardhi , majini wengi...
Wa mikoani wamelalamika sana kuwa nimewatenga sijaweka post kuwahusu... Basi hii sasa ni zamu yao watiririke kwa raha zao.. Japo huko kunaweza kuwa na vituko tofauti kabisa na Dar.. Kwa mfano...
Hapo zamani za kale katika nchi isiyo mbali sana na hapa nilipo miti minne ilianza kukua juu ya kilima kidogo.
Miti mitatu kati ya miti hiyo minne ikawa yenye ubinafsi, majivuno na kila mara...
Katika pitapita zangu leo nikakumbana na hiyo picha hapo juu ambayo ilinikumbusha kijiji cha Mjimpya, Muheza Tanga.
Nilipita hapo kwa mara ya kwanza mwaka 1994 ni kijiji kipo katikati ya mji wa...
Nimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado.
Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje...
Ni alfajiri nyingine tena kunapambazuka....
Kwanza kwa huzuni kubwa naomba nitoe pole nyingi kwa ndugu na jamaa wa mama aliyeuliwa kikatili usiku wa kuamkia jana kwenye uwanja wa transforma...
Kama kuna kitu kina makengeza mengi ni hili la mzee wetu Mangula aliyepata ugonjwa wa ghafla akiwa kwenye majukumu yake na kukimbizwa hospital ya Taifa Muhimbili.
Wananchi hatukujua kabla kama...
Kampuni ya Ndege ya Air Tanzania (ATCL) inapenda kuwajulisha wateja wake na umma kwa ujumla kuwa safari za ndege TC422 na TC423 kati ya Dar es Salaam na Moscow zimesitishwa kwa muda kuanzia 4...
Mbunge ashauri Chama cha Mapinduzi kumpitisha Dkt Samia, raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kama mgombea wa uraisi 2030
https://www.facebook.com/share/v/1Bo5jn5G75/
KAMA ULIKALILI TU MAANDIKO KAA PEMBENI HAUKUHUSU
Kama mafundisho ya Dini yanatuambia kuwa Mungu ananijua kabla hata sijazaliwa, maana yake anajua kila kitu ninachofanya na hadi nitakacho fanya...
Maandalizi kuelekea hafla ya kuhitimisha mafunzo ya askari wa ajira mpya 268 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) ambapo walianza mafunzo hayo ya kijeshi tarehe 22 februari 2026...
🏪 BIASHARA YA STATIONERY
1. 📚 Nini maana ya biashara ya stationery?
Biashara ya stationery ni biashara inayohusika na uuzaji wa vifaa vya shule, ofisi na uchapishaji, pamoja na kutoa huduma...
Mkurugenzi wa Vodacom Business Nguvu Kamando (kushoto), akisalimiana na Mkurugenzi wa Programu za Afrika wa Bridge for Billions, Liliosa Mbirimi (kulia), muda mfupi baada ya kutangazwa kwa...
Benki ya Exim Tanzania imehitimisha mafunzo kwa wanawake wajasiriamali 50 waliofanikiwa kukamilisha programu ya wiki sita ya Women Empowerment Programme (WEP) 2026 jijini Dar es Salaam...
Mambo Vipi Ndugu zanguni
Natamani Kujua Kuhusu Michango ya Mahafali kwa Ngazi ya Diploma au Bachelor Degree n.k
je Ni Halali kwa wahitimu Kulazimishwa kutoa Michango ya mahafali na Kuwaambia...
Familia ya Aga Khan ikiwa katika picha ya pamoja. Aliyeketi ndiye kiongozi wa sasa
Na Simon Mkina
Nyaraka za akaunti zilizoko Benki ya Barclays zinazoonyesha mmiliki wake ni Mtanzania – kwa...
Na Mwandishi Wetu.
Dar es Salaam-Tanzania, Septemba 3, 2026: Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) imeshinda Tuzo ya Rais ya Wazalishaji Bora wa Mwaka (PMAYA), katika kundi la wazalishaji wakubwa wa...
Uko ugaibuni bank hazipokei pesa tu hata vito vya thamani hupokelewa na hutumika kama kama poni mtu akitaka mkopo je vipi apa bongo mtu unaweza peleka dhahabu, almasi, fedha?
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Usimdhihaki, Usimchukie wala kumdhuru Mtumishi wa chombo chochote cha Usalama (Police, Military) kama hajawahi kukutendea ubaya au kukuonea.
Poleni sana askari Polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.