Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hapa ni Halmashauri ya Mji wa Nzega. Tumeshakwenda kama mara mbili hivi kwenye Ofisi ya Biashara, lakini hatukumkuta mtu. Tulikuwa na tatizo la Business Licence, tukaambiwa twende kwenye Ofisi ya...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
  • Redirect
Watu wanne wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili katika barabara ya Bagamoyo, eneo la Bunju Sokoni, wilayani Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ajali hiyo...
0 Reactions
Replies
Views
Zamani nilipokuwa nimeajiriwa kuna jamaa aliacha kazi hakupatikana zaidi ya miaka 5, alitoka kazini akiwa na madeni kila kona, after five years nimepatana naye kafanikiwa kwa kiasi chake. Yaani...
17 Reactions
32 Replies
838 Views
#MICHEZO: Golikiwa wa Klabu ya Jamus FC Goodwill Yugusuk ameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Sudan Kusini ya vijana wa chini ya umri wa miaka 23. Yagusuk pia amewahi kuiwakilisha Sudan...
1 Reactions
7 Replies
133 Views
Nandika hili bandiko kueleza kusikitishwa kwangu na kiwango cha huduma na ukosefu wa uwajibikaji kutoka kwa kampuni ya Vodacom Tanzania, hususan katika kitengo cha huduma ya kifedha ya M-PESA...
3 Reactions
1 Replies
74 Views
Washindi wa Vodacom Corporate Masters 2026 Golf Tournament katika makundi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupokea zawadi zao, Tukio hilo lilifanyika Lugalo Golf Club, Dar es...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Kuna mkuu au mzito yeyote aliyewahi kumalizia safari yake Muhimbili, Mlonganzila, Lugalo, Sinza Palestina au Benjamin Mkapa ? Kwa nini walijitengea Mzena mahususi ? Inafika level za Muhimbili...
6 Reactions
11 Replies
208 Views
Inasikitisha kuona jinsi baadhi ya madereva wanavyocheza na maisha ya abiria barabarani. Sekunde moja tu ya kupoteza umakini kwa ajili ya kutazama simu inaweza kuleta janga kubwa na kupoteza roho...
6 Reactions
50 Replies
1K Views
Utakuta miaka 35 plus hadi 50 wapo wanaishi kwa wazazi wao. Au akijitahidi sana basi ameolewa na mwarabu kapangiwa nyumba. Na unamwona kama mwanaume hivi kumbe ni mke wa mtu. Kinondoni ni Wilaya...
4 Reactions
4 Replies
176 Views
Ambao mko karibu na vyanzo mnipe jibu
4 Reactions
6 Replies
99 Views
Naona ingekuwa rahisi sana kama Mungu angejiweka katika hali ya kujulikana na kufahamika kwa wazi kwa watu wote waliowahi kuishi duniani bila kipengele. Suala la kwamba watu baadhi tu ndio hudai...
0 Reactions
3 Replies
42 Views
Waburundi wametimuliwa nchini humo.kenya imesema haitaki raia wa kigeni tena nchini humo.
2 Reactions
21 Replies
279 Views
Jina "Bwana wa Majeshi" linatoka katika maneno ya Kiebrania ya Biblia "Yahweh Sabaoth" (au Jehovah Sabaoth). Mungu anaitwa hivi kutokana na sababu kadhaa kuu za kiteolojia na kihistoria: Mkuu wa...
2 Reactions
10 Replies
77 Views
  • Poll Poll
Habari Mimi ni kijana wa miaka 25+ ninamtaji wa Tah 1M niko shinyanga mjini sasa naombeni ushauri wakuu, 1: Kufugua biashara ya duka la mangi mtaani. Kwa sababu ya ufinyu wa mtaji. Mzunguko...
4 Reactions
22 Replies
157 Views
Katika dunia ya leo yenye warembo na watanashati wa kila aina, unapaswa kutokuweka vigezo vya uzuri wa nje kama msingi wa kupata mwenza. Vijana wengi wanakimbilia superficial beauty na kuweka...
3 Reactions
5 Replies
77 Views
Huua watu 800k kwa mwaka
5 Reactions
34 Replies
530 Views
Kwa hakika hakuna msanii ambaye amepata kuwa makini kwenye kazi yake kuliko Peter Msechu. Big up sana Kaka, umeshatoa wimbo wa pole kwa Marehemu Mhandisi Gissima. AUDIO | Peter Msechu - GISSIMA...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Mimi kama mtanganyika nilimkubali sana hamphrey polepole kutokana na elimu aliyokuwa anatupa watanganyika kwenye kipindi chake cha elimu ya uongozi. Toka yaanze maandamano sikuwahi kushiriki...
4 Reactions
22 Replies
305 Views
Kuna CID mpya imeanzishwa alongside Morogoro Road, pembezoni kabisa ya Mbezi Daladala Stand na Magufuli Bus Terminal. Ni nani huyu mwenye mamlaka kiasi hiki kuja kuanzisha CID pembezoni kabisa...
1 Reactions
5 Replies
81 Views
Back
Top Bottom