Ndugu wa damu na Rostam Azizi aitwaye ASSAD AZIZI ABDULASUL ametajwa kwenye orodha ya drug delear na jina hilo lipo mezani kwa JK mda mrefu na Nzowa anafanyia kazi.
Taarifa za awali...
Ukuaji wa teknolojia umekuwa chachu ya ubunifu katika kila nyanja, uchukuzi na usafiri[shaji] zikiwa mojawapo.
Sasa hivi huko Marekani, kwa mfano, hususan kwenye miji mikubwa mikubwa na kwenye...
Hili litakuwa fundisho kwa wengineo watakaokuwa wazembe kuruhusu nyumba zao kutumika katika kuficha wahalifu,
Ni sawa na ilivyoamriwa gari itakayohusika kubeba wahamiaji haramu au Mali asili nchi...
Furaha isiyokifani kutoka kwa mrembo atokae singida Charlotte Makalla aliyefanikiwa kushinda taji la urembo la MISS AFRICA AMERICA kwa kushikilia nafasi ya tatu.
Kiukweli ni ushindi mkubwa mno...
Wale mnaofahamu nchi zingine zinawafuata watalii au wanajileta wenyewe?! Kati ya ndege zetu zilizonunuliwa ni ipi husafirisha watalii na inawapeleka wapi?!
Serengeti iko Mkoa wa Mara, ni ndege...
Uwa najiuliza sana kada zingine km waasibu,polisi,mwanajeshi wakiwa nyumbani nje ya kazi wanatambulika kwa majina yao...
Ila kwa walimu na madaktari nyumbani na ofisini wanaitwa hivo hivo ni kwann...
Maisha kweli kitendawili. Sometimes unaweza ukapanda mahindi zikaota ndago...Kuna wana CCM walitamani kuwa waziri wa fedha lakini Dk Mpango 'asiye mwana CCM' kiviiilee akaipata post hiyo kiulaini...
Siku za Jumatatu Huwa napenda sana kuwahi kazini kwasababu ni siku ambayo kama ukichelewa kidogo foleni inakuwa kero kuliko siku nyingine za kawaida.
Kuna Eneo Moja mitaa ya Masaki kuna Njia...
Mfanyabiashara Maarufu na mmiliki kampuni tatu za Hans Paul Mkoani Arusha, Kamaljit Hans
Paul (58) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani hapa na kesho
anatarajiwa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma...
Bandugu, naombeni msaada wenu, hivi hapa Dar kuna mwalimu yeyote anayetoa mafunzo ya strings? i.e violin, viola au cello. Nahitaji sana kujifunza, kama kuna mtu anamjua tafadhali sana naomba msaada.
MBIVU na mbichi kuhusu ukweli wa mali za viongozi wa umma wapatao 946, zinatarajiwa kujulikana wakati wowote kuanzia sasa baada ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kukamilisha ripoti...
Second priest defies Church of England to marry his same sex partner
Luxembourg's prime minister first EU leader to marry same-sex partner
Serbia gets its first female – and gay – prime minister...
Hii ndio nyumba inayodaiwa alifichwa mfanyabiashara Mohammed Dewji 'Mo' baada ya kutekwa katika hoteli ya Colosseum Oktoba 11 na kuachiwa Oktoba 20.
Nyumba hiyo ipo mtaa wa Mwansasu, Mwezi Beach...
Ndugu zangu naomba niende kwenye Mada huska
Kiukweli kuna jambo linaniumiza Sana hasa swala la michango ya ndugu wanao owana
Kimsingi hua wanagawa card ili tuwachangie fedha ili wafanikishe...
habari wadau.. najua wengi tunamkumbuka huyu jamaa alivypondwa humu kwenye uzi wa kukataa kuajiriwa usa kwa mshahara mnono kwenye huu uzi kwenye link
B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa...
Habari wakuu, Nianze kwa kuweka wazi kuwa mimi ni mkristo na msikilizaji mzuri sana wa nyimbo za gospel
Nimekuwa nikisikiliza music aina tofauti tofauti na kiukweli kila aina ya muziki...
Nani waliuwa?
Wako wapi wauaji?
Je wako wanafirahia vitafunwa,mvinyo,nyamachoma na bia uraiani?. Au wako wanatumikia adhabu?.
SAUTI YA DAMU ISIO NA HATIA INAITA TOKA MAVUMBINI, NI NANI...
Samahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.