Samahani nimeanza huu uzi tena baada ya kuona nliofungua mwanzo wanasema Sina access nao.
Naomba kuuliza mtu yeyote anaepajua wanapouza na kufanya settings za mashine za masikio au wanaitaga hearing aids.
Hizi ni zile mashine wanazotumiaga viziwi au wasiosikia vizuri.
Karibuni