Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba kuelimishwa au kupewa uzoefu kwa wale mnaolindwa au mliowahi kulindwa,huwa mnajisikiaje?? Au wale mnaokuwa na ma bodyguard huwa mnaenjoy mini?Mf.vile kama Diamond, na je mlinzi wako...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi arudisha kwa Wananchi wa Vijiji vya Membe na Mlimwa, wilayani Chamwino, ardhi yenye ukubwa wa ekari 1756 aliyepewa mwekezaji Davidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanamke mmoja nchini ZImbabwe, Silindile Mangena, amemshitaki mpenzi wake wa zamani kwa kusabisha sehemu zake za siri kupanuka kupita kawaida, na kumtaka amlipe takriban Tsh. Milioni 23 ili...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Hali imekuwa mbaya, baadhi ya watu na wafanya biashara wa korosho wamekuwa wanakamatwa kamatwa kisa wamekutwa na korosho,ambapo walinunua kihalali hata kabla ya magu hajaingilia, baadhi ya watu...
5 Reactions
43 Replies
7K Views
Ukizaliwa mwanaume ni Kugangamala Ni kazi kwa kwenda mbele. Napenda kuwatambulisha hawa Wadau Wakiongozwa na Mr. Mwamnyanyi Wamewaletea New Technology From Uk Imeanzishwa kuchukua nafasi ya...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Salaam Ni miezi sasa tangu nilipie hisa za vodacom na ukimya umetawala, walisema wangetupa taarifa walau ya cheti cha umiliki lkn pia kimya huku nikiamini fedha zetu zinazungushwa huko kwa mitaji...
0 Reactions
70 Replies
12K Views
Zaidi ya watu 6,000 wameajiriwa katika mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR). Kati ya ajira hizo asilimia 96 sawa na watu 6,182 ni za Watanzania na asilimia nne sawa na watu 258 ni wageni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimelikuta hili tangazo la kazi ambalo limesema specifically kwamba wanahitaji Raia ambae si Mtanzania (Wanataka Mkenya, m South Africa au Mhindi)... Limenifikirisha sana, halafu position yenyewe...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna shule ya secondary naidai pesa kidogo kutokana na kazi niliyowafanyia kwa makubaliano ya kulipwa kupitia fedha za elimu bure pindi zitakapoingizwa kama ulivyo utaratibu, Makubaliano ilikuwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Nataka kununua kafimbo cha namna hiyo kwa ajili ya 'ubitozi', 'ubishoo', 'swaga'. Vipi vinapatikana wapi kwa hapa dsm? Natanguliza shukrani Update: nimeshakipata, nimekipata maeneo ya...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Uendeshaji wa usafiri wa mabasi ya mwendo kasi hapa Dar es salaam mbovu haufai. Wahusika wanatoa huduma chini ya kiwango huduma mbovu sijapata ona. Watu wanalundikwa kama mizigo. Akija mtu kutoka...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 28, nina elimu ya shahada ya kwanza katika sayansi ya chakula na teknolojia kutoka SUA. Ni hivi tokea nimalize masomo nimeangaika...
0 Reactions
2 Replies
820 Views
Wakuu naomba kuuliza kama inawezekana kuvunja hili linaloitwa baraza la sanaa la taifa maana toka nimelijua sijawahi kuona juhudi zozote walizofanya juu ya sanaa nchini zaidi ya kuididimiza...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kiukweli siyo Siri mnatuchanganya mno na nadhani badala sasa ya kutusaidia Kiimani na matatizo yetu ' yaliyotukuka ' ndiyo mnatuzidishia tu uwendawazimu kama siyo utahaira katika ' bongo ' zetu...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) leo limekabidhiwa rasmi kiwanda cha kubangua korosho cha Buko kilichopo mkoani Lindi tayari kwa kuanza kupokea na kubangua korosho. Hatua hiyo imekuja ikiwa ni...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jafo amemkaribisha Waitara Mikwabe Mwita(Mb) ambaye ameapishwa mapema leo hii kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
ONGEZEKO la mimba zisizotarajiwa miongoni mwa wanafunzi zimetajwa kuwa changamoto katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). 
Mwenyekiti wa Baraza la chuo hicho, Jaji mstaafu Damian Lubuva...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kuna tatizo gani uwanja wa Ndege wa kimataifa Dar es Salaam Julius Nyerere kuwa na joto an aircondition hazifanyi kazi.je tatizo nini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maamuzi ya Serikali kununua korosho za wakulima limekua ni jambo jema na zuri kwa kuwainua wakulima, lakini maamuzi ya Serikali kununua ni hakika kuwa haukupangwa ndio maana kumetokea kauli za...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom