Madhara ya kukanyaga Nazi iliyovunjwa njia panda

Ungekuwa na akili ungetutaarifa kwanza kabla ya kukanyaga ili tukushauri vizuri, by the way mara nyingi mabomu kama hayo yanakuwa yamelegwa kwa mtu fulani kwa manuio akipita asie husika huwa hayafatuki. Pia kunanyakati hutegwa kwa lengo la mtegaji kujisafisha na majanga fulani kwahiyo atakaye kajaga hubeba hayo majanga ya mtegaji, wakati mwingine hufanywa kama kafara tu bila lengo la kumzuru mtu na hii ndo mara nyingi huwa ndo maana watu husema washakajaga bila kuzurika na wengine washakula hizo nazi bila kuzurika.
 
Siku za Jumatatu Huwa napenda sana kuwahi kazini kwasababu ni siku ambayo kama ukichelewa kidogo foleni inakuwa kero kuliko siku nyingine za kawaida.

Kuna Eneo Moja mitaa ya Masaki kuna Njia panda ambapo nimekuta Nazi imevunjwa katikati ya hizo njia nne na nikaikanyaga. Hivi kuna madhara yoyote nitakayopata?

cc
Mshana Jr
MziziMkavu
LIKUD
mchawi mweupe mchawi
Mganga wa Jadi
MGANGA MCHAWI
mkuu umenikumbusha mbali sana aisee.Nikiwa nasoma shule ya msingi kama sikosei ni darasa la tano tumetoka zetu home tumepitiana tuko kama 4 hivi tunaelekea shule huko kijijini mara tukufika njia panda flan hivi katikati kuna mti wa ( mfuruanje) hiki ni kilugha sijui kiswahili chake si mara tukakuta nazi na mayai yamepasuliwa pale aisee tuligombania mimi na wenzangu miguu ilichubuka kishenzi kwenye magoti tulikula zile nazi zote kwa kugombania baadae kama week ndo nikaja kusikia watu wanazungumza kuwa zilikuwa za kimazingira wakati hadi leo sijadhurika.Usiogope man hivi vitu ni upuuzi tu man
 
Dadeki. nishakula sana hizo nazi wakati nipo shule ya msingi na hadi leo nadunda tu, sembuse kukanyaga?
 
Siku za Jumatatu Huwa napenda sana kuwahi kazini kwasababu ni siku ambayo kama ukichelewa kidogo foleni inakuwa kero kuliko siku nyingine za kawaida.

Kuna Eneo Moja mitaa ya Masaki kuna Njia panda ambapo nimekuta Nazi imevunjwa katikati ya hizo njia nne na nikaikanyaga. Hivi kuna madhara yoyote nitakayopata?

cc
Mshana Jr
MziziMkavu
LIKUD
mchawi mweupe mchawi
Mganga wa Jadi
MGANGA MCHAWI
Ukiikanya kwa bahati mbaya haidhiru kama imetegwa....lkn ukiikanyaga kwa makusudi nakushauri rudi nenda kaikojolee
 
Hizi imani zenu ndio zinazowapoteza, how do know kuwa ilivunjwa purposeful? Haiwezekani ni taka tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom