HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,448
- 6,211
Natafuta soko la ulezi ninagunia za kutosha naomba wanunuzi mniambie mnachukua kwa bei gani nmeutoa sumbawanga
Hii ni kwa gunia?23000
Kwani we ulichukua bure huko Sumbawanga kiasi cha kumuuliza mnunuaji bei? na umesafirishaje mzigo?Natafuta soko la ulezi ninagunia za kutosha naomba wanunuzi mniambie mnachukua kwa bei gani nmeutoa sumbawanga