Habari wakuu.
Nimewahi sikia hizi habari kwamba zipo nyumba na majumba ya kifahari chini ila sijawahi kuyaona.
Naomba mnijuze yalipo japo nikayaone.
Naomba kujuzwa gharama za ujenzi name niachie...
Nawasalimu kutoka Mtowisa-Ziwa Rukwa Sumbawanga.
Sikua online kutokana na sababu za kibinadamu na kimtandao! Nimefurahi Sana kusikia kuwa tutagawiwa kila Mtanzania kilo mbili za Korosho. Si...
Idara ya Uhamiaji mkoani Mara imekamata wahamiaji haramu wanane akiwemo mwanamke mmoja kutoka nchini Kenya aliyekuwa akiishi na kufanya shughuli za uganga wa kienyeji na kuhubiri injili kwa wakati...
Wiki jana nime drive kwenda na kurudi Tabora, kama kawaida ya hizi gari za serikali huwa mara zote huwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa Bara Bara
Wakati Sie wanyonge Tutasafiri kwa woga wa...
Mkurugenzi wa manispaa ya Dodoma mji umekushinda mkuu. Naomba kuonesha interest mimi ni mdau wa usafirishaji.
Tuanze na ishu ya stendi kuu ya mabasi ya kwenda mikoani, mh. Rais huyu mkurugenzi...
Habari wakuu!
Bila shaka mada hii ni fikirishi sana hivyo nahitaji utulivu wako kwani utapata kitu muhimu katika maisha.
Ukitaka uishi vizuri bila shida yoyote hapa duniani basi usitumie akili...
Ndugu Kamanda Sirro, kwenye maelezo yake wakati anajiknyaga kanyaga kuhusu kutekwa kwa MO alisema matajiri wamiliki siraha kujilinda na watekaji.
Nakumbuka tajiri mmoja huko Musoma alipiga...
Bila shaka umepata kuwaona hawa jamaa ktk mitandao ya kijamii hususani Youtube, na hata Channel mbali mbali maarufu za youtube kama vile Millard ayo tv online, zimefanya nao interviews vijana hao...
Hivi karibuni Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) kilitoa ripoti ya nusu mwaka (kuanzia mwezi 1-6) kuhusu mwenendo wa haki za binadamu nchini. Taarifa ambayo haikuwa njema zaidi...
The European Union this week recalled its ambassador from Tanzania over “the deterioration of human rights and rule of law”. This came shortly after Dar es Salaam regional commissioner called for...
Ndugu wanabodi,
Salaam!
Nimpongeze ndugu Naibu Waziri wa Elimu, Mheshimiwa WILLIAM OLE NASHA kwa kutoa tamko lenye malengo ya kuendelea kufanya shule kuwa sehemu salama kwa wanafunzi, watoto...
Kumekuwa na changamoto miongoni mwa baadhi ya vijana wadogo kuhitimu shule ya msingi wakiwa hawajui kusoma na kuandika...sasa mimi naishauri serikali iweke mkakati wa kuhakikisha kila Halmashauri...
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza zako ' Kutiririka ' na ' Kuserereka ' kama vile huna akili nzuri. Binafsi nimesikitika sana kutokujumuishwa kwa Mtaalam wa ' Misiba ' nchini Tanzania...
Wakati wa mabadiliko ya mfumo wa BRELA wa usajili online mahali pa vitambulisho,mnataka kitambulisho cha taifa,wengine havija toka bado,nimeenda NIDA nikapewa namba ya kitambulisho changu cha...
Nianzie hapo hapo kwenye kushindwa masharti ni kwamba mwezi wa kumi mwaka Jana nilienda Congo DRC kwa maelekezo kutoka kwa jamaa yangu wa hapahapa Tanzania. Kwamba kule kuna Mganga wa jadi ambaye...
Waalimu ni waamini wazuri sana wa adhabu ya viboko! Wanapenda sana matumizi ya fimbo wakiamini ni nyenzo ya kufundisha.
Imani hii ya viboko imewafanya waone kwamba bila fimbo maisha yao yatakosa...
Pameshuhudiwa matumizi ya nguvu iliyozidi, adhabu za kutweza, na uchapaji wa viboko dhidi ya wanafunzi kwa namna ya kikatili, ya kuogofya, na isiyozingatia sheria.
Jana, tarehe 28/8/2018...
Hivi kwanini Iringa hakuna hoteli zenye hadhi, juzi nilikuwa huko niliona kama hoteli moja hivi angalau yenye hadhi lakini nyingine ni kama gesti, hebu wadau wa Iringa mtuambie tatizo ni nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.