Diesel generator
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 706
- 663
Nani waliuwa?
Wako wapi wauaji?
Je wako wanafirahia vitafunwa,mvinyo,nyamachoma na bia uraiani?. Au wako wanatumikia adhabu?.
SAUTI YA DAMU ISIO NA HATIA INAITA TOKA MAVUMBINI, NI NANI ANAEJARI?. TUNALIA, TUNAOMBOLEZA, TUNAFUTA MACHOZI, TUNAZIKA NO BODY CARE!!.