Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,030
Ukuaji wa teknolojia umekuwa chachu ya ubunifu katika kila nyanja, uchukuzi na usafiri[shaji] zikiwa mojawapo.
Sasa hivi huko Marekani, kwa mfano, hususan kwenye miji mikubwa mikubwa na kwenye vyuo vikubwa [UCF ina enrollment ya wanafunzi takriban 60,000], usafiri wa scooter đź›´ unabamba sana.
Mpaka sasa kuna kampuni mbili ambazo zinatawala hiyo biashara. Lime na Bird.
Kampuni hizi zinamiliki scooters na pia zina App.
Unapakua App, unajaza taarifa zako i.e. credit/ debit card, jina, anwani, na kadhalika. Kama vile tu ufanyavyo kwenye ridesharing kama Uber na Lyft.
Hivyo vi scooter vinakuwa kwenye maeneo tofauti tofauti. Hivyo, unaitumia hiyo App uliyoipakua ku locate scooter iliyo karibu na ulipo.
Ukishapa scooter ambayo haitumiki unai unlock kwa kutumia App yako, unaiwasha halafu unasepa zako.
Ukifika huko uendako unaiacha hiyo scooter pembezoni mwa barabara [sidewalk] na mtu mwingine anayehitaji kuitumia ataikuta hapo.
Kwenye miji mikubwa ambapo kuna magari mengi sana hususan katikati ya mji, scooter sharing ni usafiri ulio convinient.
Sasa ndo Nipo hapa nawaza kama kwa Tanzania, hususan hapa Dar, kama kitu kama hicho kinawezekana licha ya changamoto zilizopo - hakuna sidewalks za kueleweka, hakuna umeme wa uhakika[hizi scooter zinatumia betri ya kuchajiwa].
Hapa chini ni picha kadhaa za ninachokiongelea hapa....hizo za rangi ya ndimu ndo scooter za kampuni ya Lime.
App ya Lime iko hivi....
App ya Bird iko hivi....