MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,512
Bandugu, naombeni msaada wenu, hivi hapa Dar kuna mwalimu yeyote anayetoa mafunzo ya strings? i.e violin, viola au cello. Nahitaji sana kujifunza, kama kuna mtu anamjua tafadhali sana naomba msaada.