habari wadau.. najua wengi tunamkumbuka huyu jamaa alivypondwa humu kwenye uzi wa kukataa kuajiriwa usa kwa mshahara mnono kwenye huu uzi kwenye link
B.Fernandes: Mtanzania aliyekataa mshahara wa Mil 425 marekani arejea Tz - JamiiForums
jamaa ameanza actions za kilichomfanya akatae kuajiriwa majuu na kurudi Tanzania
hii ni copy and paste kutoka millard ayo updates
Application ya Watanzania inayopatikana @nala.money maarufu kwa kukamilisha miamala ya kifedha bila kutumia Internet inayopatikana kwenye Playstore, leo imeshinda Tuzo ya #DisruptiveInnovation kwenye TUZO za #AppsAfrica 2018 Cape Town nchini Afrika kusini.
_
Mwanzilishi na Mkurugenzi Mkuu wa @nala.money @benji_fernandes amepokea Tuzo hiyo na kuahidi kufanya makubwa zaidi ambapo mpaka sasa
@nala.money ndio application ya kwanza inayokamilisha miamala yako yote bila kutumia Internet na ndio application ya huduma za kifedha salama zaidi Tanzania. #MillardAyoUPDATES