Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ivi karibuni dada mmoja alienda katika hospitali moja ya manispaa ya TEMEKE, kwa ajili ya matibabu. Hasa ukizingatia yeye alizaliwa na condition ya sickle cell huitaji matibabu ya mara kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tarehe 13/11/2018 Mfanyabiashara maarufu nchini Bw. ROSTAM AZIZ alifika Ikulu Jijini Dar es Saam kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. JOHN POMBE MAGUFULI kwa kazi nzuri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kupitia orodha ya wenye vyeti feki nimekutana na jina la mfanyakazi tajwa 810 Shirika la TIJA Flora Richard Swai anafanya shirika la TIJA hili lipo wapi? Shughuli zao hasa ni nini?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakati watu wakiendelea na propaganda kuwa sasa hivi nchi ya Tanzania imekuwa ya kizalendo zaidi!naomba nigusie tu hili swala la ID jinsi linapoleta karaha na usumbufu hasa kitambulisho cha Taifa...
0 Reactions
1 Replies
496 Views
Kufuatia mradi wa ujenzi wa SGR nchini kumekuwepo faida mbalimbali kimuondominu na kiuchumi katika ukuaji wa sekta nyingi nchini. Katika taarifa iliyotolewa tarehe 14 Novemba 2018 na Mkurugenzi...
1 Reactions
0 Replies
612 Views
Katika Magazeti ya leo tarehe 15/11/2018, wameeleza kuwa gharama za kusafirisha mizigo kupitia SGR ( Train ya umeme) utaweza kupungua mpaka asilimia 40. Nkaanza kwa kujiuliza, hivi waTanzania...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni kipindi cha mwisho wa mwaka sasa nilikuwa nashauri kwanini Wachungaji na Washekhe wawe ktk STAND kuu ya Ubungo kuombea mabus yanayotoka kuanza safari ili kukinga ajali za mwishoni mwa mwaka...
1 Reactions
7 Replies
981 Views
kuna haja gani kuwa na maprofesa nchi hii ikiwa wakimaliza elim zao wanakuja kuwa watumwa kwa wanasiasa na kushindwa kutumia taluma zao?
1 Reactions
3 Replies
806 Views
Tetesi zinasema kuna zoezi la kukamata wavuvi haram huko wilayani SENGEREMA mkoa wa Mwanza ndugu yangu alieko huko katika kijiji cha nyakahako anasema zoezi linaendesha kionevu sana kwani...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kisa kiko hivi: Kuna familia inaishi kwenye nyumba ya majani (imeezekwa kwa viungo). Jana mchana saa 8, ulizuka moto kenye paa lao. Ukazimwa. Baada ya saa kama 10, ukazuka moto tena kwenye...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hawa jamaa siwaelewi kabisa. Mimi nina ving'amuzi viwili, na vyote vimeunganishwa kwenye tv yangu. Kinachoamua nilipie kipi, ni huduma nayohitaji kwa muda huo. Nikihitaji mipira ya ndani...
3 Reactions
4 Replies
3K Views
In The High Court of Dar-Es-Salaam At Mkuu wa Mkoa Ofisi Civil Case No. 10 of 2018 Mputa versus Pwani Haulage Before: Hon, Bashite Judge.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ni wakati sasa kama taifa tukaangalia uwezekano na umuhimu wa kuwa na Limited Liability Partnership.Hii ni kuiwawezesha wananchi kushirikiana katika ujenzi wa uchumi wa viwanda Tujadili
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kibao cha ujenzi wa daraja la juu litakalo katiza juu ya bahari ya Hindi kutoka coco beach mpaka Agha Khan hospital
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Adhabu ya viboko haijaelekezwa kwenye kila kosa bali baadhi ya makosa yakiwemo makosa makubwa ya Kinidhamu na yale yenye sura ya kijinai Hayo yamesemwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri...
5 Reactions
117 Replies
18K Views
Habari zenu Wakuu! Kutokana na agizo la Rais kulitaka Jeshi letu tukufu kuhusika moja kwa moja katika Ulinzi wa maghala, Ununuzi na Usafirishaji wa Korosho. Je gharama za perdiem za walinzi...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha Kuna taarifa zinasema mji wa Tabora una taharuki...
0 Reactions
47 Replies
11K Views
Mapenzi ni nini? Mtu akisema mpe mwanao mapenzi yakutosha, kwamba ili ni jukumu la mzazi/mlezi au sehemu ya malezi bora. lakini huwezi kufanya mapenzi na mwanao, kwamba kufanya mapenzi ni kitendo...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Baada ya sisi Watanzania kuwa na Viherehere huku tukijifanya kila mara kuwalaumu wenye Nyumba nchini Tanzania kuwa huwa wanapandisha Kodi za pango kiholela na tukataka sifa hadi kuwashtakia wenye...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Back
Top Bottom