IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,678
Habari zenu Wakuu!
Kutokana na agizo la Rais kulitaka Jeshi letu tukufu kuhusika moja kwa moja katika Ulinzi wa maghala, Ununuzi na Usafirishaji wa Korosho. Je gharama za perdiem za walinzi, madereva na maafisa wa Jeshi imezingatiwa? Naleta kwenu wadau.