By SPECIAL CORRESPONDENT*
FOR Heaven's sake, does the United States of America command any moral authority to point an accusing finger at other countries when it comes to human rights? This is a...
Nyoka ana meno 4 ; 2 chini na 2 juu ambayo ndiyo yenye vijitundu vya kupitosha sumu yake inayoruka ama kunyunyiziwa kama dawa ndani ya sindano.
Nyoka akikugonga maana ake anaacha meno yake sehemu...
Dawa ya kudumu ya Halimashauri zetu ni kuzifuta.Mwaka 1972 serikali ilizifuta,tatizo moja wapo kubwa likiwa ubadhirifu wa fedha na kutowajibika ipasavyo kwa wananchi.Matatizo hayo yapo hata...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)Limewataka wale wote walikabidhiwa hati za viwanja katika eneo la Safari City lililopo kata ya Mateves nje kidogo ya jiji la Arusha kuhakikisha wanaendeleza maeneo...
Salute.wakuu hizi bank za dtb mnatatizo gani upande wa ATM yaani imekuwa kero kila siku ATM utakuta iko "out of service" unaweza kutembelea hata tatu shida ni hiyo hiyo ikifika mwisho wa mwezi...
Mbunge wa Tandahimba kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Katani Ahmad Katani leo amemtembelea mbunge wa Singida Mashariki Mh Tundu Lissu anayeendelea na matibabu huko jijini Brussels nchini...
Kama nchi huongeza mishahara ya wafanyakazi mara uchumi wake unapoimarika na hasa baada ya uzalishaji kuongezeka kutokana na kujituma kwao , je hakuna uwezekano kuwapunguzia mishahara yao ili...
Hello wana JF,
Leo nimeona nimshauri Magufuli kuwatumia mabalozi wake wa nje Kama washauri...
Mabalozi wako exposed to different countries ways of living....
Hi yo basi wanajua kinachoendelea...
Wakuu nimeamua kusanua hili jambo na kuona ni jinsi gani tunavyodumaza vichwa vya vijana wenzetu huko,na kutoweza kamwe kufanya mambo ya msingi ya taifa hili...
Unakuta chartng zao ni kama za...
Arusha. Wakati Chuo kikuu cha Mount Meru, kikiwa hatarini kutaifishwa na Benki ya Rasilimali (TIB) kama kikishindwa kulipa deni la Sh3 bilioni ilizokopa miaka mitatu iliyopita, umeibuka mgogoro wa...
Salaam!
#Hukua na hiyari nayo#;
1. Mahali ulipozaliwa
2. Rangi ya ngozi yako
3. Wazazi, familia zao
4. Jinsia uliyozaliwa nayo
5. Lugha uliyoleleka nayo
6. Jina lako la utotoni
7. Kabila na mila...
Mama mmoja mkoani Tanga aliyefahamika kwa jina moja la Ashura, amemchoka kwa kisu mtoto wake wa miaka nane kwa madai ya kuvunja chupa ya chai.
Akizungumza na Mtanzania Digital, mtoto huyo Zainabu...
World Bank na IMF hawa hawa ndo walio mtisha Nyerere saiz naona wanataka kumtisha Magu sijui hawajui kwamba Tanzania kuna watu wengi wanao jitambua vizuri
Hafu maisha ya kuishi kwa kutegemea...
Mtu anatengeneza shida halafu huyohuyo anajitia kusovu mara watu wanaanza kumpa 'tano' .....sifa za kijinga.
Huyohuyo ana haribu kazi kwa kisingizio cha kutengeneza kazi mara 'watu' wanampa...
Habari ya jumapili wana JF
kabla sijaileta hoja ya leo naomba kwanza wale ambao hawana interest na mambo ya dini ama hawapendi kujifunza mambo ya ziada huu uzi hauwafai wala hawatakiwi kuwepo...
Kuna tatizo kubwa sana pale mzani wa Mikumi, Askari wa usalama barabarani ni wengi utafikiri wanakagua meno ya tembo kila lori lazima wafungue mlango wagari kiasi cha kusababisha foleni kubwa sana...
Mimi nimeanza kutumia line ya Tigo miaka kadhaa sasa ila imekuwa ikitokea mara kwa mara kuwa nakatwa Tsh 100 kila ninapoacha salio endapo ntakuwa sijajiunga nikiweka Tsh 50O au 1000 kama...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa nyumba unaojengwa kwa ubia kati Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kampuni ya Azimio Housing Estate Limited katika eneo la Dege Beach Kigamboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.