Tabora: Polisi wametumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliokuwa wanadai watoto wao kutekwa

mwanansao

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
205
250
Karibuni wiki mbili sasa mji wa Tabora umekubwa na janga la kuteka watoto na kuwabaka na kuwaua na kuwakata baadhi ya viungo ukweli inasikitisha

Kuna taarifa zinasema mji wa Tabora una taharuki kubwa, baada ya watu wasiojulikana kuwa na kawaida ya kuwateka watoto wanaoenda shule na kisha kunyofolewa sehemu zao za siri.

Namwaminia mkuu wa mkoa Mhe. Aggrey Mwanri, kama ni kweli basi afanye la ziada. Na wakazi wa Tabora muache ushirikina, this is too much.

Polisi Tabora imetumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliofurika Shule ya Msingi Chemchem, wakidai watoto wawili wametekwa na watu wasiojulikana.
 
mzee msakata

Member
Dec 6, 2016
77
125
Leo tena nimepigiwa simu wameiba watt sita mmoja wakamdondosha baada ya kupigiwa kelele wana noah nyeusi haina plate no
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,092
2,000
Mlipo mkoani Tabora tupeni habari kwa kina kuhusi kilichotokea leo hii kata ya Chen chem

Miye nipo safarini abiria mwenzangu kapokea sm akimwambia mkuu wa mkoa kapigwa mawe leo polisi wamemuokoa, nikaona si vibaya tukija jamvini kuuliza wadau kilichojili uko.

====

Polisi Tabora imetumia mabomu ya machozi, kutawanya wazazi waliofurika Shule ya Msingi Chemchem, wakidai watoto wawili wametekwa na watu wasiojulikana.
 
From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
1,969
2,000
Kuna taarifa zinasema mji wa Tabora una taharuki kubwa, baada ya watu wasiojulikana kuwa na kawaida ya kuwateka watoto wanaoenda shule na kisha kunyofolewa sehemu zao za siri.

Namwaminia mkuu wa mkoa Mhe. Aggrey Mwanri, kama ni kweli basi afanye la ziada. Na wakazi wa Tabora muache ushirikina, this is too much.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom