[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kiti cha mbele miguu juu ya dashboard
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kiti cha mbele miguu juu ya dashboard
karibu sanaNarudi DSM walahi....naona kumenoga
Sante sana mwana-wanekaribu sana
Lengo ni la kuwachukuza watu wa ufipa kwanzaMh. Lengo la daraja ni kupendezesha mji ausio
Lina jengwa kwa msaada, mkopo ama pesa yetu...Kibao cha ujenzi wa daraja la juu litakalo katiza juu ya bahari ya Hindi kutoka coco beach mpaka Agha Khan hospitalView attachment 933641
mkopo wa wajapanLina jengwa kwa msaada, mkopo ama pesa yetu...
Sawa, ngoja tuone litavyokamilikaila mi sioni kam
mkopo wa wajapan
ila lina msaada gani kwanini wasiongeze LANE ZIWE 8 SPACE IPO ALI HASSANI MWINYI ROAD???Sawa, ngoja tuone litavyokamilika
Acha tamaa..Narudi DSM walahi....naona kumenoga
SI MNAJIFANYA WANAUME WA MIKOANI MNATUBEZA WANAUME WA DAR!Acha tamaa..