Ni kipindi cha mwisho wa mwaka sasa nilikuwa nashauri kwanini Wachungaji na Washekhe wawe ktk STAND kuu ya Ubungo kuombea mabus yanayotoka kuanza safari ili kukinga ajali za mwishoni mwa mwaka, naamini wenye nyombo vya usafiri na abiria wao pia wana IMANI na wanaamini kuwa ajali nyingi ni za kizembe na za kutengeneza, sasa tukimshirikisha Mungu kwa Maombi hakutakuwa na ajali za uzembe wala za kutengeneza/ ajali za kichawi.
Ahsanteni: ingawa wengine watatukana ama watabeza huwa inakuwaga hivyo sio wote wanamwamini Mungu.
Ahsanteni: ingawa wengine watatukana ama watabeza huwa inakuwaga hivyo sio wote wanamwamini Mungu.