Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Wakati watu wakiendelea na propaganda kuwa sasa hivi nchi ya Tanzania imekuwa ya kizalendo zaidi!naomba nigusie tu hili swala la ID jinsi linapoleta karaha na usumbufu hasa kitambulisho cha Taifa na Passport mpya!
Mimi binafsi passport yangu inakaribia kujaa na nina miezi kadhaa hata sijui kitatoka lini!
Wiki iliyopita Rafiki yangu karudi bongo ndani ya wiki moja amepata kitambulisho cha Taifa na passport mpya!can you imagine!