Kisa kiko hivi:
Kuna familia inaishi kwenye nyumba ya majani (imeezekwa kwa viungo). Jana mchana saa 8, ulizuka moto kenye paa lao.
Ukazimwa. Baada ya saa kama 10, ukazuka moto tena kwenye ukazimwa. Tena baada ya ya sa kama 5 ukawaka tena . Nikaitwa , wakati nipo , moto ukazuka tena.
Wao wanaamini kuwa kuna mchawi anatupa moto kwa remote. Mimi siamini vitu kamahivyo. Nikajaribu kufkiria chemistry ya moto in relation to majani makavu. Nikashindwa kupata connection.
Mwenye maoni anisaidie.
Mshana Jr