Shirika la TIJA ofisi zake zi wapi?

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
8,281
10,795
Katika kupitia orodha ya wenye vyeti feki nimekutana na jina la mfanyakazi tajwa
810 Shirika la TIJA Flora Richard Swai anafanya shirika la TIJA hili lipo wapi? Shughuli zao hasa ni nini?
 
Zamani walikuwepo pale karibu na Elimu Supply ..pembeni ya St Joseph School ..city center
 
Back
Top Bottom