M Mkohi Jr Member Joined Oct 16, 2018 Posts 5 Reaction score 4 Nov 15, 2018 #1 kuna haja gani kuwa na maprofesa nchi hii ikiwa wakimaliza elim zao wanakuja kuwa watumwa kwa wanasiasa na kushindwa kutumia taluma zao?
kuna haja gani kuwa na maprofesa nchi hii ikiwa wakimaliza elim zao wanakuja kuwa watumwa kwa wanasiasa na kushindwa kutumia taluma zao?
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,297 Reaction score 14,590 Nov 15, 2018 #2 Njaa haiishi mjomba[emoji23]
mzamifu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2010 Posts 6,410 Reaction score 3,881 Nov 15, 2018 #3 Wanaweza kulisaidia zaidi taifa kwa kufanya tafiti na kufundisha kizazi kipya. Kuingia siasa ni kukosea njia nskutetea usichokiamini
Wanaweza kulisaidia zaidi taifa kwa kufanya tafiti na kufundisha kizazi kipya. Kuingia siasa ni kukosea njia nskutetea usichokiamini
Lukataluko JF-Expert Member Joined Nov 20, 2017 Posts 1,345 Reaction score 1,573 Nov 15, 2018 #4 Wanasaidia sana hasa ktk kipengere cha kusifu na kuabudu ili kuwenda na upepo.