Moshi kuna vibaka na wezi wa hovyo sana.
Kipindi cha mvua nyakati za usiku ni fursa kwao.
Kuiba kuku, nguo zilizoanikwa , ndoo zilizoko nje na nguo zilizoachwa kwenye kamba zikauke ni kitu normal...
Kabla ya kufariki kwake mwaka 2004, kuna huyu mama nilimtembelea kwake na hapohapo nilikuwa namfundisha binti mmoja Tuition nyumbani kwao. Ni huko Arusha, eneo la Jengo la Mollel karibu kabisa na...
SALUTE COMRADES...
Kama mnavyofahamu kichwa cha mwanadamu aliye hai na timamu wa akili lazima mahali alipo lazima kichwa kiwe kinawaza , nimekaa nikawa nafikiri mambo flani kichwani nikaona ngoja...
WATAWALA WAWEKEWE VIKWAZO BINAFSI TANZANIA.
Demokrasia nchini imeporwa na utawala huu wa awamu ya tano. Haki za binadamu zinavunjwa; watu wanatekwa kila uchao na wanoitwa watu wasiojulikana na...
Niko singida kwenye tigo fiesta, wenyeji wakaniambia rode ni night club iliyochangamka sana na kuna totoz
Baada ya kupata hizo info nikaamua kwenda getini men 5000 ,madem bure.
Kuingia ndani...
Sabah Al Kher waungwana.
Hivi waandishi wa habari waTBC wanatokea chuo gani ? au wanachukuliwa toka mitaani bila kupitia kozi yoyote. Tafadhali nijuzeni haiwezekani taasisi nzima haina hata mtu...
Huyu kijana anayeonekana mahakamani anahusikanaje na hii kesi? Nachojua amba aliambiwa akareport peke yake cha ajabu mahakamani wansonekans wawili.
Huyu kijana ni mdogo kiumri kwa mwonekano hii...
Serikali imesema kuku wa kisasa hawana madhara kiafya kwa wanadamu kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakisema.
Naibu Waziri wa wizara ya mifugo na uvuvi Abdalah Ulega amesema hayo bungeni...
UPDATE: Serikali imemfungia msanii Wema Sepetu kutojihusisha na filamu kwa muda usiojulikana.
Msanii Wema Sepetu ameitwa na kuhojiwa na Bodi ya Filamu kufuatia picha na video zake zenye maudhui...
Anaandika Mwamba wa Kaskazini
Nimesikiliza jinsi mbunge mjinga wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, siku mbili hili alivyokuwa akishangilia kuona baadhi ya mabalozi wakilaani Tanzania kwa madai ya...
Watafiti wa Alizeti wanathibitisha kwamba zao la Alizeti linaweza kustawi katika mikoa 19 nchini Tanzania.
Hata hivyo serikali hutumia zaidi ya Bilioni 400 TZS kwa mwaka kuagiza mafuta ya kula...
Ameandika Dr Yahya Msangi (PhD)
TUWE WAANGALIFU HISTORIA YA KILIMO IMEJAA HADAA NA HUJUMA TELE
Historia ya kilimo duniani inaonyesha jinsi ambavyo mbinu mbalimbali zimetumika kudidimiza kilimo...
Walioendelea wanapiga kampeni ya kuweka usawa kati ya wanaume na wanawake ktk nchi maskini, ambako tunaaminika hatuna usawa. Hilo halina ubishi, lakini kwa sasa nguvu inatumika kuleta usawa au...
When it comes to which height do better in bed we have many different opinions.
Matatizo, 32, insists that he has been with girls his height 5.9ft and girls who are 5.3. He says, “The only...
Katika video hii Gwajima anasema;
Sio kwamba Makonda au Bashite hafai kwenye kila kitu,lakini hajawa matured enough kwenye mambo ya utawala kama mkuu wa mkoa. Kwa hiyo namuomba kwa heshima na...
Nakumbuka jamaa mmoja wa Nigeria alipost Facebook comment ya kukemea na kuuponda ushoga, ndani ya Muda mfupi, Facebook wenyewe wakaifuta post hiyo.
Hii niliikuta kwenye nairaland forum jamaa...
Nimekua nikitumia mtandao wa tigo kwa kipindi sasa lakini mambo wanayofanya ni ya kipuuzi sana.
Wiki iliyopita walinipa zawadi ya GB 10 kwakua nimeweka vocha mfurulizo kwenye simu yangu ya tochi...
DAR ES SALAAM, Nov. 16 (Xinhua) -- The World Bank on Friday announced a 300-million-U.S.-dollar grant to Tanzania to support its education sector, said a statement from the country's Directorate...
Naomba tu kuuliza. Hivi kile kishika uchumba cha bilioni 700 tumelipwa? Nakumbuka siku ile yule waziri, tena profesa alivyotoka hadharani na akikaza macho, na kudai kuwa Accacia wamekubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.