*HEKO BENKI YA CRDB KWA UBUNIFU HUU*
*Kukua kwa teknolojia kumeleta mabadiliko mengi chanya yanayopelelea maendeleo katika jamii zetu. Nakumbuka nikiwa mdogo mama alipokuwa akitaka kwenda benki...
Siku za nyuma kidogo katika mkoa flani alikuwepo mzee mmoja kwa jina la Mashaka aliyekuwa na Mke na mtoto mmoja wa kike mzuri sana kwa jina la Waitinesi. Huyu alikuwa ndiye mtoto pekee wa hii...
UTAFITI wa udhibiti wa panya kwa kutumia mkojo wa paka nyumbani na mashambani ili kuwazuia wasiharibu vifaa mbalimbali na mazao unakaribia ku kia mwisho baada ya wata ti kupata matokeo mazuri...
Mzuqa
Ng'olo Kante mchezaji hatari wa Chelsea na Ufaransa ambaye inaaminika ndie the best defensive mid fielder in the world ni Muhasibu qualified accountant.
Alipita mtihani wake wa form siksi...
Wanajamii wenzangu kwa anaehitaji kontena futi 20 na futi 40 zinapatikana na zipo za kutosha kabisaaa kwa anaehitaji ani email kwa anuani hii ya nnala@a1csgroup.co.tz
Kwa miaka mingi tumekuwa tukiaminishwa na baadhi ya watu kwamba sijui wazungu,wahindi sijui waarabu mimi nasema hapana sisi waafrica ni wabaguzi kuliko hawa wenzetuu......
Na ubaguzi wa mwafrica...
Mfano, rafiki yangu anapanga kunikopesha sh 10000. Ni prestige Mimi kujisifu kwa wanangu kwamba rafiki yangu au jirani yangu ameahidi kunikopesha sh 10000.wakati huohuo nawaaminisha wanangu kwamba...
Kila nikipita hiyo njia tukikaribia tu utasikia konda anasema eneo hili hairuhusiwi kupiga picha ukionekana tu basi sisi tutakuacha hapo-na kweli kuna vibao vimekataza huwa najiuliza sababu za...
Nimeoma mjinga mmoja ana muataack dada wa watu kwaujasiri wake wa kuwatetea watoto wa kike kurudi shule wapatamo ujauzito ,maria jamiii unajua imesikia ma dunia unajua pamoja tutashinda piga kazi...
Mwaka 1987 katika.kijiji kimoja kilichopo katika wilaya moja iliyopo katika MKOA wa Singida yalitokea mauaji ya kutisha dhidi ya kikongwe mmoja kijijini hapo ambayo yalitekelezwa na bwana mmoja...
IDARA ya Uhamiaji Mkoani Kilimanjaro,imeanza uchunguzi kuhusiana na madai kwamba Wakili wa Serikali ofisi ya Wakili Mfawidhi Mjini Moshi,Omari Kibwana si raia wa Tanzania.
Habari kutoka Uhamiaji...
Serikali inatarajia kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa wanaomiliki makampuni nje ya nchi baada ya watalaamu wa kodi kutoka Chuo Cha Kodi nchini (ITA) kufanya utafiti mwaka 2017/18...
Tukisoma historia ya mkoa wa Kilimanjaro tunaona kuna kabila maarufu sana la wachaga ambalo kimsingi lilikua na tawala mbali mbali za kichaga kila chifu na eneo lake.
Machifu hao waliitwa mangi...
Imegine kwamba umerudishwa peke yako Miaka 200 nyuma kutoka sasa, lakini ukaachwa na Akili zako hizi hizi ulizonazo yaani unazomiliki kwa sasa bila kuongeza wala kupungua chochote,
Utaweza...
Iko Kama ifuatavyo
WB: Tunafikiria kuzuia Mkopo kwa Tz
CCM: Wapinzani hao, hawaitakii mema nchi
WB: Tunazuia mkopo kwa Tanzania
CCM: Poa tu, hatuna Shida na pesa za mashoga, sisi sio mashoga...
Kama ni kweli kabila gani Tanzania ni wabaguzi ?
Dini gani ni wabaguzi ?
Chama gani ni wabaguzi ?
Rika gani ni wabaguzi ?
Wanawake na wanaume nani wabaguzi ?
Nk
Wadau ninaomba mnijuze athari za uingizaji wa mazao kinyume na taratibu na utoroshaji wa mazao kinyume cha taratibu. Mfano mzuri ki kahawa...wafanya biashara wanatorosha kahawa kwenda Ug..ni...
Wakuu kwema?! Nimefika hapa Miami Fl kama mwezi kwa ajili ya kuanza maisha mapya! Kama kuna Mtanzania yoyote ambae yupo hapa naomba anicheki PM tufahamaniane.
Natanguliza Shukrani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.