Watawala wawekewe vikwazo binafsi

Watawala wawekewe vikwazo binafsi

Mra Eliphas

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
264
Reaction score
235
WATAWALA WAWEKEWE VIKWAZO BINAFSI TANZANIA.

Demokrasia nchini imeporwa na utawala huu wa awamu ya tano. Haki za binadamu zinavunjwa; watu wanatekwa kila uchao na wanoitwa watu wasiojulikana na hakuna mhusika amekamatwa, imebaki tu "watu wasiojulikana", maiti zinaokotwa mtoni na baharini kwenye viroba, hakuna mhusika wa mauwaji ya miili hiyo amekatwa . # Washirika wa maendeleo/wafadhili (doners) mara kwa mara wamepaza sauti kulaani mambo hayo yasikubalika lakini hakuna mabadiliko. Ni wajibu wa serikali yoyote makini kulinda raia wake na mali zao. Kuzuia mauwaji ya kiholela, ujambazi , uharamia na utekaji wa watu kiholela. Na ni wajibu wa serikali kuheshimu matakwa ya katiba, kutokuvunja katiba. Tanzania haki ya kikatiba ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara imeporwa na utawala huu.

Ushauri wangu kwa hawa wazungu ni huu; "mnaweza kuwanyoosha watawala kwa urahisi zaidi kwa kukamata mali na account zao za fedha zilizoko huko kwenu, kuwazuia kukanyaga huko kwenu, na mwisho kuweka vikwazo vya kiuchumi kwa nchi". Mkifanya hivyo haitachukua muda , round ya kwaza tu watakuwa knocked out! . Vinginevyo nawaona nyie wafadhili kama wanafiki tu kwa kuwa njia za kutumia kuuweka utawala huu kwenye mstari sahihi mnazo lakini hamtaki kuzitumia. Mbona kwa nchi nyingine kama Zimbabwe mmefanya hivyo na watawala wameondoka?
 
Halafu cha ajabu kuna mapimbi humu nchini kwetu, hayaoni maswala ya "kutekwa & kuuliwa" kwa raia kama ni tatizo. Yenyewe ni kufumbia macho kama vile hayo mambo hayafanyiki, halafu kila kitu kinacho fanywa na vijana wa lumumba kinasifiwa tu hata kama "wamekurupuka & kukosea".

Naomba sana mungu siku akipige RADI kile kijengo chao pale lumumba, tena iwe siku wana kikao chao, mchana kweupe na jua linawaka. Ili wajue mungu yupo na anawaona[emoji18]
 
Demokrasia nchini imeporwa na utawala huu wa awamu ya tano. Haki za binadamu zinavunjwa; watu wanatekwa kila uchao na wanoitwa watu wasiojulikana na hakuna mhusika amekamatwa, imebaki tu "watu wasiojulikana", maiti zinaokotwa mtoni na baharini kwenye viroba, hakuna mhusika wa mauwaji ya miili hiyo amekatwa . # Washirika wa maendeleo/wafadhili (doners) mara kwa mara wamepaza sauti kulaani mambo hayo yasikubalika lakini hakuna mabadiliko. Ni wajibu wa serikali yoyote makini kulinda raia wake na mali zao. Kuzuia mauwaji ya kiholela, ujambazi , uharamia na utekaji wa watu kiholela. Na ni wajibu wa serikali kuheshimu matakwa ya katiba, kutokuvunja katiba. Tanzania haki ya kikatiba ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara imeporwa na utawala huu.

Ushauri wangu kwa hawa wazungu ni huu; "mnaweza kuwanyoosha watawala kwa urahisi zaidi kwa kukamata mali na account zao za fedha zilizoko huko kwenu, kuwazuia kukanyaga huko kwenu, na mwisho kuweka vikwazo vya kiuchumi kwa nchi". Mkifanya hivyo haitachukua muda , round ya kwaza tu watakuwa knocked out! . Vinginevyo nawaona nyie wafadhili kama wanafiki tu kwa kuwa njia za kutumia kuuweka utawala huu kwenye mstari sahihi mnazo lakini hamtaki kuzitumia. Mbona kwa nchi nyingine kama Zimbabwe mmefanya hivyo na watawala wameondoka?
Una wazo zuri ila bahati mbaya wazungu hawapo jf wapo ulaya na marekani mkuu
 
Wewe ni mwehu kweli kweli walahi
Chuki kubwa ya wadhungu sasa hivi ni kuwa awamu ya tano waajiriwa wa serikali hawaendi huko kwao kupeleka pesa na kutumbua na vibinti kama ilivyo kuwa awamu ya nne!
Mandege yao yamekata safari kwa kukosa abiria wa serikali, pesa za madeal kwenye account za nje zimekata, duh kijana mdogo hebu jiongeze kidogo walahi
 
Mkuu, humu Jf , balozi zote nchini wanasoma wapo wazungu wanaojua kiswahili na wameajiriwa kwa ajili hiyo, asante, usijali.
 
Wewe ni mwehu kweli kweli walahi
Chuki kubwa ya wadhungu sasa hivi ni kuwa awamu ya tano waajiriwa wa serikali hawaendi huko kwao kupeleka pesa na kutumbua na vibinti kama ilivyo kuwa awamu ya nne!
Mandege yao yamekata safari kwa kukosa abiria wa serikali, pesa za madeal kwenye account za nje zimekata, duh kijana mdogo hebu jiongeze kidogo walahi
Naomba nikuulize swali moja dogo, tofauti zetu za itikadi ya siasa tuweke pembeni katika hili swali.

Hivi wewe ni jinsia gani?
 
Wale wanaosafiri kufuata account zao huko na manunuzi binafsi kwa pesa walizoibia wananchi watakwama, mfano mzuri ni zile za Chenge (vijisenti) zilizoko kisiwa cha Jessy Uingereza.
Mfano wa 2 ni zile za Dr Shika kule Urusi au vepe?
 
Zinaokolewa kisha zinatolewa pasipo na tija
Hahaha! Timiza ndg yangu tutafanyaje na ndo ishakua hivo. Wakiwekewa vikwaxo vya kusafiri ulaya ndo itakua full shangwe kwao maana wanaogopa kwenda hata wakialikwa.
 
Wapo wanafiki wanaojifanya hawataki kusafiri kwenda Ulaya. Lakini wapo wengi wakizuiwa tu watapatwa stroke hapohapo. Account zao huko nje ni nono.
 
Hahaha!!! kumbe kimoyo moyo wanatamani au wanaogopa kukutana na viongozi wakubwa wa Dunia ila kama ni safari za kawaida wanaenda?
 
Back
Top Bottom