Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Haki miliki ya picha Getty Images Image caption Mambo muhimu kuhusu rafiki...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni laini mpya kabisa ina wiki moja toka niisajili, juzi tarehe moja nikatumiwa kamisheni ya Tsh 157,000/= toka voda, laini yenyewe sijawahi kuitumia toka nisajili. Sasa mpaka leo salio bado...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii ndio hali ya tshs yetu...inazidi kuporomoka dhidi ya US DOLLAR....Je ni nini hasa kimekolezea kuporomoka kwa shillingi? Ni uchumi ama nchi za wafadhili kusita baada ya tamko la EU almaarufu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Washauri wa Azam drinking water mshaurini apunguze midogo(mzingo/kipenyo) cha chupa za maji ya kunywa. Vinginevyo awe anauzia maji yake nyanda za juu kusini huki ndio watu wana midogo ina vipenyo...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari zenu, Naombeni msaada wa kufika BEST WESTERN CBD HOTEL, mie mda huu niko huku G/mboto, nataka nikaianzie wikend yangu hapo yani Kula, kunywa na kulala mpaka jumapili hapo hapo. Mwenye...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
*~ Korosho toka nje ya nchi zakatazwa* *~ Kangomba yazidi kupigwa vita* *~ Rais Magufuli apongezwa* Na Mwandishi wetu, Mihambwe Gavana Mihambwe Emmanuel Shilatu ameungana na wakazi wa Tarafa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi waungwana, Km kichwa cha habari kinavyosomeka, huwa nashwangazwa na kupata tabu sana juu ya hawa tu, kwanini wanapenda kujihesabia haki kuwa wao ni bora zaidi kwa Mungu kuliko...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemfikisha kortini meneja wa fedha wa kampuni mbili za ujenzi, Sureshbabu Kakolu kwa tuhuma za kutoa rushwa ya Dola 2,000 za Marekani (zaidi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar za mda huu wana jukwaa hapa jf. Naomba kujielekeza kweny hoja kama ambavo inajieleza hao juu. Ktk harakati za hapa na pale kuna mda unatamani ubadilishe manzari na sehemu tofaut na mahali...
1 Reactions
49 Replies
17K Views
Ni kama majira ya mwaka kuna kiangazi Kuna mvua za vuli Kuna mvua za masika Kila msimu una kheri zake na shari zake... Mema na mabaya Ni kama misimu katika maisha ya mwanadamu Kuna msimu wa furaha...
12 Reactions
37 Replies
4K Views
Nawashauri yale magar yetu yakifika mbagala tujitokeze kwa wingi ili kupunguza wingu la kusemwa. Hivi hamjiuliz kwa nin wamakonde inabid wachezwe ngoma? . Ni kwa sabab imedhihirika wanawake...
8 Reactions
78 Replies
12K Views
Wale waliokuwa wanaonekana kuwapinga wanachama wezao kwa kushirikiana na swiswiemu ndio wamekuwa Wa kwanza kuwaunga mkono swswemu mfn kina mtatiroooh, mbunge Wa tmk, nk Kina prof mapumba ,magida...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umesema mahusiano yake na Tanzania yanazorota na kudai kuwa kumekuwa na mashinikizo yanayotolewa na Tanzania. EU pia inataka Tanzania kudumisha haki za binaadamu ikiwemo za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KATI YA MAKAMANDA WANAOZEEKA NA HESHIMA ZAO N HUYU KWAKE N KAZI KAZII..MH IGP SIRRO TUSAIDIEN KUMLETA HUYU MH HAPA DAR ATUNYOOSHE HATA KWA MWEZI MMOJA TU AREJESHWE HUKO DODOMA. KAMA ITAWEZEKANA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
David Nko(73) mkazi wa Kata ya Kikatiti, Wilayani Arumeru mkoani Arusha anashikiliwa kwa kumpa mimba Msichana wa miaka 14 anayesoma shule ya msingi Sakina Juu Mama wa binti huyo amesema kwamba...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Juma hamis alifariki miaka ya nyuma kidogo lakini bahati mbaya aliuawa kimakosa. haikuwa imefika zamu yake. aliuawa badala ya mzungu mmoja aliyekuwa akiitwa John Houghton. Huyu alikuwa muingereza...
3 Reactions
7 Replies
8K Views
Maana enzi hizo ilikuwa wimbo kila kona utasikia magonjwa ya zinaa magonjwa ya zinaa...enzi za kitabu cha Pande na Ukimwi. Au yaliletwa tu kiteknolojia jamaa wapige hela ndefu halafu walete wasepe.
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nawatia moyo wale wote waliopotelewa na ndugu zao ama kwa kutekwa au kupotea. Basi niwatie moyo kwa maneno haya aliyosema Yesu Kristo ya kwamba katika hili hamko peke yenu bali roho wa Mungu...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mnamo wiki mbili zilizopita, yaani October 31, 2018, Papa Francis amemhamisha Askofu Method Kilaini kuwa askofu wa Tamalluma. Kabla ya uhamisho huu askofu Method Kilaini, ambaye amekuwa akiishi...
4 Reactions
41 Replies
14K Views
Back
Top Bottom