Dindira
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 2,912
- 3,469
Sabah Al Kher waungwana.
Hivi waandishi wa habari waTBC wanatokea chuo gani ? au wanachukuliwa toka mitaani bila kupitia kozi yoyote. Tafadhali nijuzeni haiwezekani taasisi nzima haina hata mtu mmoja mbunifu.Au wamespeshalaizi kuwaudhi watizamaji ?
Mbona mtu ukiangalia tiivii za Kenya. Uganda au hata Aitiivii mtu unaona raha.