Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali imewapandisha madaraja watumishi wa umma 113,520 walioajiriwa mwaka 2012 katika awamu tatu, ambapo ya kwanza walipandishwa vyeo Watumishi 28,049 waliokuwa wameidhinishiwa vyeo kabla ya...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Majukumu ni mengi huwezi kujua uanze lipi umalize lipi? Likiisha hili linakuja lile ukigeuka huku ufanye hivi unaludishwa ulipotoka ,mambo ni mengi aswaaa tena ndio upate na dada vichwa ngumu...
10 Reactions
46 Replies
5K Views
If you look at contemporary politics in Tanzania and the emerging trends,you cannot help to deduce that there are changes taking place.If you conduct a honest analysis of the words and practice of...
0 Reactions
0 Replies
524 Views
Nchi yaweza kuchukuliwa kama kiumbe ambacho kina baathi ya sifa ambazo mwanadamu anazo na sifa ambazo haiwezi kuzipata kutokana limitation ya kwamba nchi inaexist katika mind construct ( shared...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mh Mkuu wa Wilaya, Yanayojiri ofisi za vizai na vifoo haziko mbali na ofisi yako Ofisi ile inanuka rushwa rushwa rushwa Nenda uone wazazi wamefika toka saa moja asubuhi wanaambiwa jaza fomu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimemuona na kumsikia Meneja wa moja ya Hoteli kubwa na maarufu ya Kitalii ya Arusha kwenye taarifa ya habari usiku huu anasema/anajitetea kwa Maofisa wa Serikali kuwa Hoteli ile ina vyumba mia...
33 Reactions
162 Replies
22K Views
Nianze kukupongeza kwa kazi nzuri inayoendelea naona hata idadi za waethiopia kukamatwa imepungua. Mmh kamishna mkuu yanayoendelea pale Magomeni yanafurahisha sana. Tumefika saa tatu asubuhi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini(Takukuru) mkoani Kilimanjaro,imemkamata na kumfikisha mahakamani Meneja wa fedha wa Makampuni mawili ya ujenzi Suresh Babu Kakolu akituhumiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hili bas likijalibu kutaka kupita sehemu ambayo inakataza kuovatek
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyosema. Katika mahafali ya wahitimu ya shahada ya juu ya uhasibu "CPA" mwezi November mwaka huu, mkurugezi wa NBAA, Pius Maneno aliahidi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Dear all, Section 21 of The Courts (Land Disputes Settlements) Act No. 2 of 2002 – Cap. 216 (as amended) states as follows: “The Minister may make rules prescribing procedure for appeals from...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Kwa masikitiko makubwa hadi leo sijalipwa pensheni yangu toka HAZINA ya mwezi, Oktoba, 2018. Kuna tatizo gani na mbona mnanitesa hivyo?.
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Katika hotuba ya Mhe. Rais aliyoitoa kuhusu ununuzi wa korosho, Mhe Rais alisema kuwa mkulima wa korosho atalipwa fedha zake zote na kama anadaiwa basi wadai watamfuata kwa muda wao watakavyoona...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwenye Maswali na Majibu asubuhi hii pamekuwepo na swali kuhusiana na utumishi hasa upandaji wa madaraja kwa bahati mbaya naibu waziri kalijibu kiujanja ujanja lkn kamtaka aje na takwimu alhamisi...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Ni picha ya nyani wawili wenye pua mchongoko wakiwa juu ya mawe wakiwa wanaangalia kitu kwa mbali kwa umakini mkubwa. Ni kitu gani hicho wanachokiangalia, na wanafikra gani vichwani mwao? Jibu...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
JamiiForums hakika kuna mengi ya kijifunza. Ni sehemu ya kisima cha maarifa. Mimi nilikuwa FB nikaachana nayo, ilikuwa kama inanipotezea muda tu. Instagram nikaona kabisa huko kama kuna umbea...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kulikuwepo Utaratibu wa kuzipa Ruzuku Taasisi zisizo za Kiserikali, ili kutekeleza miradi ya Kijamii. Kuna anayejua Uliishia wapi utaratibu huo? Maana kama utaratibu ulikuwepo kisheria sababu za...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Waungwana hivi walisema lini watarejesha local Chanel katika ving'amuzi tajwa hapo juu? maana tumechoka kusubiri
2 Reactions
49 Replies
9K Views
Nadhani wengi wetu tunafahamu hii kitu, ni jambo dogo lakn linavutia kulifahamu, umewahi kujiuliza kwa nini mshumaa unatoa moshi pale unapozimwa na si wakati unaendelea kuwaka. Nini sababu hasa...
17 Reactions
18 Replies
7K Views
Mkuu wa wilaya ya Newala ,mkoani Mtwara ,Aziza Mangosongo, amefanya operesheni maalum na kukamata tani tisa za korosho zilizokuwa zikipitishwa kimagendo.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom