Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,349
Niko singida kwenye tigo fiesta, wenyeji wakaniambia rode ni night club iliyochangamka sana na kuna totoz
Baada ya kupata hizo info nikaamua kwenda getini men 5000 ,madem bure.
Kuingia ndani nikakutana na totoz za kinyaturu nyeupeeee peeee lakini havina ya kukalia, yaani chini kumepiga pasi kabisa.
Sirudii tena kuingia ngoja niende fiesta namfua kwanza .
Hapa rode ukicheza unaweza ondoka na wadudu badae ukajuta