Trafiki wa ubungo mataa

Trafiki wa ubungo mataa

Lakini nyakati zenye msongamano mkali zikitumika taa wenye Magari wengine hawatii taa zinavyoonesha, unaweza kuta taa zinawaka nyekundu lakini wenye Magari ya upande hisika wanaendelea kwenda badala ya kusimama,
Pia wakati mwingine unakuta upande flani Magari yamejaa hadi foleni inakuwa haiendi kabisa hata Kama taa zao zinaruhusu ,
Sasa hapo inabidi Askari aingilie kati kuwezesha upande mwingine unaoendeka uendelee !
 
wewe ni dereva!!?
 
Kweli aisee huku kwetu traffic anaruhusu magari kwa kuangalia uzuri wa gari ,Mfano kama ktk foleni gari lililo tangulia ni vits daah mutachelewa kutoka ila kama kuna v8 imetangulia mapema tuu hata sec 10 hamkai.Pkpk ndo usiseme ,mutachoma mahindi
 
Kuna Trafiki yupo maeneo ya Jangwani ile njia ya nyuma ya ofisi za Mabasi ya Mwendokasi ipo siku yako utatrend kwenye social networks!!.

Hujaeleweka mkuu weka wazi hoja yako ijadiliwe.
 
Back
Top Bottom