Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kufanya kazi kwa mazoea, watendaji wa vijiji na kata, Wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wameonywa kufanya kazi kwa mazoea.
Akizungumza kwa hisia kali Mkurugenzi wa...
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi Tumaini Magesa ameahidi kuwarejeshea silaha baadhi ya wananchi walipopokonywa silaha zao miaka kadhaa iliyopita
Hatua hiyo imetokana na malalamiko ya muda mrefu...
jaman naomba mwenye namba ya tanesco hawa EMERGENCY wa zone ya kinondoni kwani waya wa umeme umeanguka ni hatari sana na umeme haujakatika so nahisi zinaumeme hizi nyaya hapa chini.
Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda ameagiza kukamatwa wa watu 4 wakiwemo viongozi 2 wa chama cha ushirika cha Mnyahi na wakulima 2 kwa tuhuma ya kuchanganya korosho chafu wakati wa kuuza.
Aisee nimetimiza week now bila kupiga kilevi chochote,
Maisha bila bia yanawezekana..
Namshkuru mungu sana kwa hili,maana ilikuwa hakuna weekend wala weekday,ilikuwa kila siku weekend.
Now jioni...
Mie sijapata ona kiongozi yeyote yule aliye serious katika ziara ya kikazi akaweka mambo ya kitoto na kisanii namna hii.
Hivi mbona watu wanasahau kuwa usanii upo wakati wa kampeni na sio wakati...
Tukisimama majukwaani kwenye mikutano ya kisiasa kuhubia walalahoi walioko juani huku sisi tukiwa kivulini meza kuu na maji ya kununua na kupewa huduma za VIP.... Achana na ma VX yaliyotuleta...
Wadau nawaulizia wataalamu hao was tiba asilia ,miaka minne iliyopita walikuwa wanaendesha vipindi vyao redioni na kwenye TV na watanzania tulip wachache tulipenda kuwasikiliza sana wakitoa mada...
Mpo poa wakuu.
Wiki hii imekuwa wiki ya majanga sana kwangu. Nimejikuta nikiwa na presha huku tumbo likiwaka moto. Mimi ni mfanyabiashara mdogo. Najishuhulisha na biashara ya saloon ya kiume...
Whats up guys!
As the heading above expresses itself, this place can no longer regarded as a place where people with different views and opinions can interact and express what they have openly. In...
Ningependa kuanza kwa kukaribisha povu la aina yoyote maana hapa nitawagusa Wasomi wa UDSM na wanasiasa wa chama flani.
Mimi nimeshangaa kuona Rais akisema Tunakuja kushare profit 50/50 na...
PAAAAAMBEEE shoga unaringia kujua kupika wali wa nazi wakati kuyatumia machicha yake huwezi, haloooo eeeeehhhh! Hebu usinikaushe uzazi miye na umbo lako kama mkate wa boflo!
Shoga mahaba ni...
Kuna wakati iliwahi kusemwa kuwa noti za fedha za Tanzania zina ubora mdogo ndio maana zinachafuka sana, na pia zinaachwa kwenye mzunguko muda mrefu ndio maana zinazeeka sana.
Hata hivyo...
Wadau naombeni msaada wa kuingia kwenye app ya ITV kupitia simu ya mkononi.
Nimefanikiwa ku download ila najaribu kuifungua haifunguki.
Natanguliza shukurani.
Wasalaam.
Mwenzetu
Jamani tokea Jana Azam two habari sa 2 hakuna ila kupitia app, vipi kunani???
Wadau, mimi hupenda kuangalia ya habari ya saa 2 usiku ya Azam Tv. Cha kushangaza , kwa siku ya pili mfululizo...
Habari wana jamii!
Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.
Jana...
Habari zenu wana jamvi!
Sasa nimeamini kwamba kuna tofauti kubwa sana kati ya watu na binadamu...
Huyu binti anatia huruma sana, tangu awekwe mahabusu hajawahi kupata dhamana ya polisi wala ya...
ILI MWANADAMU AKAMILIKE LAZIMA APITIE SHIDA
Hakuna kitu kinakamilisha ubinadamu kama shida. Ndio maana hata mitume na manabii ilipitia shida ili utume na ubinadamu wao ukamilike. Mungu aliwapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.