Je, kishika uchumba cha Accacia tumelipwa?

Aputwike

Senior Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
172
Reaction score
189
Naomba tu kuuliza. Hivi kile kishika uchumba cha bilioni 700 tumelipwa? Nakumbuka siku ile yule waziri, tena profesa alivyotoka hadharani na akikaza macho, na kudai kuwa Accacia wamekubali kutulipa kishika uchumba cha bilioni 700 [emoji23][emoji23](nacheka huku nalia kwauchungu)
 
Unawaongezea mastress wenzio!
Acha wapambane na sarakasi za koro show!
 
Naomba tu kuuliza. Hivi kile kishika uchumba cha bilioni 700 tumelipwa? Nakumbuka siku ile yule waziri, tena profesa alivyotoka hadharani na akikaza macho, na kudai kuwa Accacia wamekubali kutulipa kishika uchumba cha bilioni 700 [emoji23][emoji23](nacheka huku nalia kwauchungu)
Faru Juma bin Faru John aliwaita wale wazungu ni wanaume, naona wanaume wale sasa wana tu Amber Rutty Watanzania
 
Back
Top Bottom