Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naona watu wamekugeuza comedian na ukitoa movie kila siku utaishiwa na watu watakuchoka mapema jaribu kuweka akiba ni maoni yangu tuuu
14 Reactions
60 Replies
10K Views
Mtu wa kwanza alitoka wapi ni swali ambalo wengi wanajiuliza. Kwa namna ya pekee wanafunzi wa shule ambao wanafundishwa katika historia kuwa mtu wa kwanza alitokana na kiumbehaimwenye asili moja...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Ukiangalia video inayotrend sana sasa ukiacha dance ya idibala ni dreva wa basi huko China aliyeamua kulitumbukiza basi zima kwenye MTO mkubwa wa yang tse kiang ameuwa makusudi baada ya hasira ya...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Huu ndio muonekano wa moja ya ndege mpya za ATCL zinazotarajiwa kutuwa nchini Tanzania mwezi ujao. Ndege hizi zipo katika hatua za mwisho za kuwekwa rangi na nembo za Shirika la ndege la ATCL...
14 Reactions
459 Replies
77K Views
Mwanaume mwenye umri wa makamo kutoka Uganda amewaduwaza wengi baada ya kumuua nyoka wa aina ya cobra na kumla siku yake ya kuzaliwa Kenneth Odiom ambaye ni mkaaji wa kijiji cha Kwapa katika...
0 Reactions
5 Replies
978 Views
Nimeisikia leo , naomna mwenye kujua profile yake anisaidie.Ni kwa nia njema kutafuta kibarua! asante.
0 Reactions
0 Replies
747 Views
Hawa jamaaa tangu nimeanza kuwafatili wanaongea matangazo tuuu na kidogo kibonde lazima amsifie jiwe yeye Anadhani ukiwa rais wa nchi unakuwa above the law yaaani asikosolewa kwa kigezo cha kutiii...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Airtel, your network appears to be having problems for the past five weeks or so. Many of your customers are having nightmares of communicating with others but the Data seems to be stable...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Mimi ninaamini kila mwanadamu ana kipawa(kipaji) aidha kimoja au zaidi.Kuna kipawa kinaweza kutumika kukupa maisha bora. Nadhani lengo la Muumba kumpa mtu kipawa ili huyo mtu asiwe muhitaji...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
2019 March intake Belt & Road scholarship for English medium master program! 1. computer technology 2. mechanical engineering 3. business administration(MBA) Tuition fee is $3500 per year...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
*KIMBE AJITATHMINI; ASIOGOPE FEDHEHA KWA KUWA MKWELI* Na. Dady Igogo. Nimemsikiliza mtuhumiwa wa rushwa Mh. Alex Boniphace Kimbe akitoa ufafanuzi. Kimsingi amejaribu kujitetea tu na kuhamisha...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Yaani ili mtu uweze kununua binti/kijana mwenye afya (miaka 18 - 25) kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya kiuchumi na kijamii, ilibidi uandae kati ya milioni 120 - 150 kwenye pochi ndio uende...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Niipongeze hospitali ya serikali ya Dodoma kwa huduma nzuri. Nimekuwa natumia huduma za hospitali hii zaidi ya miaka 20. Hakika nimeona hospitali hii ikiboresha huduma zake ndani ya mwaka mmoja...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama kichwa kisemavyo, leo nimeamua kujaribu kuwachangia watu wa biko Tsh buku. So hapa nangoja, kama si nyumba hizo zinazotolewa nos, naweza kushinda milioni kadhaa. Naomba mniombee ili...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jpm korosho imekupa credit ndani ila kwa gharama za mipesa yetu ila demokrasia imekuangusha nje jisafishe uwe msafi kote nje na ndani
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Usizunguke sana, naona unapoteza muda. Sasa eleza, shoga ni nini kama siyo kutinduana? Ujinga tu, na nimekudharau, unainajisi dw kwa ujinga sana
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Habari wadau wa JF. Muda sio mrefu nimeajiri house girl lakini baada ya siku tatu, alirudi kwao. Nimeajiri mwingine lakini vituko haviishi. Ni mvivu, hafui nguo za watoto Na vyombo haoshi...
3 Reactions
91 Replies
10K Views
Haraka haraka, baada ya "Brigedia" huyo kupigwa risasi Rais Magufuli "alishtushwa sana na alipiga mguu hadi Lugalo Hospital kwenda kumjulia hali, na yule mgeshi alionekana kuumizwa na kuugulia kwa...
30 Reactions
89 Replies
11K Views
Mtangazaji wa kipindi cha Njia Panda kinachorushwa na redio Clouds fm ya jijini Dar es salaam amepata nafasi ya kuwa mtangazaji wa muda katika redio Japan (NHK world) katika muda atakaokuwa...
10 Reactions
82 Replies
32K Views
Back
Top Bottom