Hatimaye nimecheza biko leo

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Kama kichwa kisemavyo, leo nimeamua kujaribu kuwachangia watu wa biko Tsh buku.

So hapa nangoja, kama si nyumba hizo zinazotolewa nos, naweza kushinda milioni kadhaa.
Naomba mniombee ili nifanikiwe.

Nikishinda nitaleta mrejesho hapa, na kama ni waongo Pia nitaleta mrejesho
 
yani usiposhinda ndo watakua waongo? Hahaha
 
Kama kichwa kisemavyo, leo nimeamua kujaribu kuwachangia watu wa biko Tsh buku.

So hapa nangoja, kama si nyumba hizo zinazotolewa nos, naweza kushinda milioni kadhaa.
Naomba mniombee ili nifanikiwe.

Nikishinda nitaleta mrejesho hapa, na kama ni waongo Pia nitaleta mrejesho

Nahisi kama huna imani vile, hivyo kushinda kwako itakuwa ngumu. Jaribu kuweka imani, utashinda.
 
Fanya haraka ukatubu hiyo dhambi.
Kum. 18 : 10 "Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye KUBASHIRI, wala msihiri".
 
Na Nikishinda je nikatubu au nishukuru
Toba unatakiwa uifanye sasa, kwa maana kesho yako huijui.
Ukishinda ukichukua hiyo fedha utakua umefanya dhambi nyingine kwa kuwa ni fedha haramu.

Nb:-(ukishinda waambie wawasiliane na mimi, ninapajua sehemu ya kuziteketeza hizo fedha haramu)
 
Akyanani aisee na jinsi hali ilivyokuwa ngumu.....
 
Back
Top Bottom