Muonekano wa moja ya ndege mpya za Air Tanzania

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
Huu ndio muonekano wa moja ya ndege mpya za ATCL zinazotarajiwa kutuwa nchini Tanzania mwezi ujao.

Ndege hizi zipo katika hatua za mwisho za kuwekwa rangi na nembo za Shirika la ndege la ATCL ambayo ni Twiga anayekimbia...

Kwa sasa ATCL imetangaza nafasi za marubani,Wahandisi na Cabin Crew wapya kwa ajili ya kuanza upya Operation ndani ya nchi na baadae nje ya nchi.Nafasi zilizotangazwa ni Dash8-Q800 Mechanical and Avionics Certifying Engineers nafasi 6,Co-Pilot Dash8 nafasi mbili,Pilot in Command Dash8 nafasi 2, na Cabin Crews nafasi 18.

Kwa marubani ni mkataba wa miaka mitano kazini,Wahandisi mkataba wa mwaka mmoja na wakati Cabin Crews ni miaka mitatu tu.Karibu Sana Air Tanzania.

image.jpeg

image.jpeg

image.jpeg
 
Jet kwa route ndefu ndio ina faida.wataleta jet engines wakianza kupasua kimataifa

HAAA NILIFIKIRI JET ENGINES JAMEN,,,NILISHAMZODOA BEST ANGU WA ETHIOPIA

Nice, blue looks good on them.
Ingawa they could have gone with ones ambazo zina jet engine, ila its a start.Lets hope for the best.

Khaa nikajua ni Jet kumbe ni hizi za mapangaboi!

Tulieni wakuu,jet bado bado. Trip za Dar Kigoma,Dar Mtwara,Dar comoro au dar kigali jet ya nini?

Wakiingia kimataifa yenyewe utaona mashine za rolls royce au general electric zinaingia.
 
Ritz acha utani bana Mpwa

Wamezielezea humu ndan MPAKA choo chakunyea kilipo..

In Q400 ZA MCANADA MPWA
 
Ni hatua nzuri ambayo serikali yetu imefika...lakini wakosoaji hawawez kukosekana,sijui walitaka ndege za namna gani maana wao kila lifanywalo kwao ni baya,,..UKUTA ndo wanaona una sura ya jet engine,,
 
Back
Top Bottom