Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wadau, Siku hizi limekuwa ni jambo la kawaida kwa dada zetu kubeba tissu hadharani(kwenye mabaa, migahawa, n.k) na kuekekea uani (toilet ) bila shaka kujisadia. Binafsi sina tatizo na...
25 Reactions
154 Replies
16K Views
habari zenu wana jf ninaomba msaada kwa anayefahamu kampuni inayotoa mikopo ya magari nina weza lipa nusu ya bei.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
WAKATI MUAFAKA SASA LAZIMA WAKANDARASI WAHESHIMU PESA ZA WALIPA KODI MH WAZIRI HUSIKA TUNAOMBA LAMI INAYOWEKWA MAWASILIANO-MUGABE MUIKAGUE TUSIRUDI KULEE TULIPOTOKA MPAKA RC AKAANZA KUFUNGIA...
0 Reactions
1 Replies
706 Views
Naomba kujua nini maana ya nembo hii kwenye bidhaa mbalimbali?
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Kuna post zilitoka za nmb za kila kanda, vipi wadau kuna alieitwa naona kimya kingi. Wasalaam
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina hoja Niliyoandaa yenye kurasa 50 ya marekebisho ya Elimu ya Msingi yenye tija kujitegemea, na kufanikisha Tanzania ya viwanda ya kweli!!!! Niipeleke wapi ambapo itafanyiwa kazi?
0 Reactions
4 Replies
572 Views
Huu ni ukweli hawanyonyeshi wanaigiza tu...wamejitahidi mwezi1 Wapeni watoto haki zao
0 Reactions
6 Replies
898 Views
Zimbabwe kabla ya kuanza kutunishiana misuli na Waingereza, uchumi wake ulikuwa uko juu na imara sana. Hata pale Zimbabwe chini ya Rais Robert Gabriel Mugabe alipoonywa mara kadhaa kuhusu athari...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Kama miezi minne iliyoita tulitangaziwa kuwa mvua kubwa itanyesha maeneo mengi ya nchi hasa Kanda ya Ziwa. Kwa kawaida mvua kwenye maeneo ya Kanda ya Ziwa huanza kunyesha mwishoni mwa mwezi...
0 Reactions
3 Replies
830 Views
WaHehe kwanini mnaendelea kula mbwa!?? Why!??
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Wasalaam, kuna makala niliisoma nikaona ni vema tutafakari wote km kuna ukweli katika hili. Inasemekana asilimia kubwa ya viongozi barani Africa ni eidha mafisadi, wezi, au madictetor. Nitaeleza...
0 Reactions
6 Replies
791 Views
Mimi ni mfugaji wa samaki ,changamoto kubwa ni chengo na paka,wanakula sana samaki. Chengo nimewadhibiti tayari,ishu ni paka,ndugu zangu paka anazamia kwenye maji wanachukua samaki.. Nimetumia...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Jamani wana JF.. Mpaka muda huu sijaamini nilichokiona asubuh hii muda mfupi uliopita. Nipo kwenye daladala natokea mwenge nakwenda job posta, daladala niliyopanda inatokea mwenge kwenda posta kwa...
1 Reactions
99 Replies
15K Views
Kila binadamu ana jambo lake analotamani ambalo anawish afanye ila Mara nyingi vitu tunavyohitaji vinakuwa nje ya uwezo... Niliwahi kumuliza mjapani mmoja yeye imani yake ya dini ni ipi na...
0 Reactions
5 Replies
941 Views
Kwa wale watu wazima mtaelewa! Enzi za zamani waliokufa na kukosa ndugu walizikwa chini ya usimamizi wa halmashauri na serikali za mitaa, walizikwa na mgambo au sungusungu kwa heshima zote baada...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana jf mara zote wahenga hutuambia kizuri kula na mwenzio. Nimecheza tatu mzuka leo na nimebahatika kushinda fedha nyingi kiasi,natamani niwagawie wanachama we zangu was jf 30 wa mwanzo kiasi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa kweli nilikuwa unguja kwa week moja ,na kabla ya hapo nilishawahi kuishi unguja miaka 5 hadi 2002.Zanzibar ya sasa imebadilika sana mazingira masafi sana! Na kilichonivutia ni wao kutumia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kongole Watanzania. kwa kuzingatia virutubisho lishe vilivyopo kwenye korosho , na haya nayoyasikia kua kila mtanzania atapata kilo mbili kwanza nishukuru maana ni uamzi mzuri sana. Na hiyo ndio...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom