Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu kampuni yetu tunahitaji HP tatu mpya kwajili ya mambo ya installations kwenye viwanda hivyo ninaomba kwa wauzaji nitumie quotation za HP na bei zake mfano HP Mini laptop 1.Hdd 160gb Ram...
0 Reactions
1 Replies
798 Views
Nimewakumbuka hawa nyota, Bodea,Aboubakari Sadick (kwafujo) na Mr Paul kama mko jeief naomba niwasalimu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni hivi, nimekuwa nikiangalia Tv kupitia simu yangu. Huku nikishuhudia ulaji mkubwa kabisa wa MBs kuwahi kutokea. Sasa nakuja kwenu, mwenye ujuzi wa kuangalia Tv kupitia simu bila kutumia MB...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
[emoji257][emoji257]KUNYONYESHA MAZIWA[emoji257][emoji257] 806. Amesema Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w., Man la Yahdharul Faqih, J. 3, Uk. 561: “Naam malipo ya mwanamke wakati wa mimba yake hadi...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
Wakati baadhi ya wafanyabiashara wakibuni mbinu za kuvutia wateja, wauza majeneza katika eneo la Hospitali ya KCMC mjini hapa wamedai biashara hiyo kwa sasa ni ngumu na imevamiwa jambo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan leo Novemba 18, 2018 amemtembelea na kumpa pole Aliyekuwa Waziri mkuu wa awamu ya 3, Mhe. Frederick Sumaye nyumbani kwake Endasak, Hanang mkoani Manyara...
5 Reactions
11 Replies
5K Views
Nchi ya Afrika Kusini ambayo Kimsingi na hata Kitakwimu tu tumeizidi kwa kuwa na Vivutio vingi vya Utalii kwa mwaka inapokea Watalii 9,600,000 na Watanzania ambao ni Matajiri wa ' Kutukuka ' wa...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Mtanzania mwenzetu anayefahamika kwa Jina la Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani, aliwahi kuishi Dom na kusoma Mzumbe Sec, kwa wanaojua zaidi chanzo na taratibu za mazishi watujuze...
4 Reactions
456 Replies
122K Views
Kwa ninavyowajua Wazungu ukiona tu wanaanza Kukutilia mashaka jua ya kwamba kuna mahala umekosea au unakosea mno na kwamba siku si nyingi wanaweza wakakuacha ili upambane mwenyewe na kwa...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Nimeshangazwa na hatua ya Shirika la Ugavi nchini Tansco kupandisha bei ya umeme haswa maeneo ya vijijini mkoania Kilimanjaro.Mfano leo hii ukinunua umeme wa elfu kumi unapata unit 28 pekee...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
ALFRED NOBEL Utajisikiaje siku utakayo soma taarifa zako mbaya kwenye gazeti ? Nini watu watasema kuhusiana na wewe pindi utakapofariki? Wakati wewe unafikiria na kuwaza kuwa haiwezani basi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo tarehe 17.11.2018,ni mahafari ya 11ya chuo cha kikatoliki Mwenge yanayofanyika katika viwanja vya kanisa la mtakatifu Thadeo Mwenge. ---------------------------- 11: 38am Kwa sasa maandamano...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wiki hii nilipata bahati ya kushuhudia risiti za iliyokuwa taasisi ya DECI zenye thamani ya shilingi laki nne toka kwa rafiki yangu mmoja wa hapa Iringa. Risiti hizo zimenikumbusha kwamba serikali...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbunge na kiongozi wa zamani wa kundi la wapigani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) amesafirishwa kwenda ICC kukabiliwa na mashtaka ya uhalifu dhidi binadamu. Alfred Yekatom aliwasili kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyoeleza,leo Tanzania inaweza kuweka historia mpya katika nyanja ya soka iwapo itafanikiwa kushinda mchezo wake dhidi ya Lesotho. Kipigo walichokipata hapo jana Cape Verde cha...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Sote tunakubaliana kwamba mwanafunzi wa kike hapaswi kufanya ngono, period. Lakini akifanya ngono, kwa vyovyote vile hapaswi kupata mimba. Kwahiyo hii ndiyo mantiki ya JPM kuhusu 'SHULE' zote...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Rais wa Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Fatma Amani Karume amezungumzia fursa na haki ya Kikatiba ya kugombea urais wa Zanzibar na kama ana mpango wa kuitumia hivi karibuni. Akizungumza...
1 Reactions
41 Replies
5K Views
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Kiteto, Tamim Mahmoud Kambona amesema, watumishi wasio na maadili ya kazi Wilayani humo wajiandae kuachia ngazi kutokana na mfumo na aina ya utawala...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, Formula inayopendekezwa kwenye mfuko mpya imefichwa, sheria haiitaji. Ni kanuni mbovu na inanyonga mafao. Leo mnapigia kelele fao la kujitoa liwekwe na wala hakuna anayefikiria kwamba...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama sio wiki Kadhaa au Mwezi uliopita, kulikuwa na Na Nyuzi nyingi sana zinazohusu mada Tajwa hapo juu. After short while zimetoweka. Sijui ni kwann watu walizipost kwa Wingi sana...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom